Nimetafakari sana nikujibu nini,kwanza sikujui na sijui lengo lako hasa la kusema yote haya ni nini.
Anyways... Tuseme wewe ni ex kweli,so what?
Kwani umesikia nilimuambia
The bold mimi ni bikra ili iwe ajabu mimi kuwa na ex?
As long as sikumuambia hivyo that means ninao exes,na kuwa na exes sio kosa la jinai bali kosa ni kuendelea kupasha viporo na exes.
My dear,kama ulifikiri comment yako hii itavuruga chochote baina yetu umefail,ananijua vyema,anajua ni jinsi gani namaanisha kwake.
Nipo committed nae,I won't cheat him.
Wakati wako ulishapita,huu ni wakati wake sasa.
So my dearest ex,can you leave us alone pls?
Yani watu sijui mkoje! Na kwa kutambua hili tulishajipanga mapema kukabiliana na wale wote kama wewe,hamtoweza asilani.
#TheBoldIsMine#