Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Dah naona kadri siku zinaenda umuhimu wa kuendelea kuishi unapungua.
Ya faa nini kuishi kama starehe namba moja duniani hatuwezi ifurahia bila kuwaza magonjwa? Yesu arudi tuu kila mtu ajue hatima yake maana haya ni mateso kuliko ata huo moto wenyewe
Nimesoma, hakika nimefadhaika sana moyoni. Jamani tuombeane ILI Kila mtu Aishi Kwa kumpendeza MUNGU.
 
Hiyo pangusa ina dawa/tiba ?

Kalpana
 
Duh!..ulijitibu na sindano zipi chief ?....unachoma kwa muda gani ?
 
Hiyo pangusa ina dawa/tiba ?

Kalpana
Pangusa ndo jina lingine la kisonono/gonorrhea..

Zamani ilikua inatibika kwa urahisi ila kwa sasa wadudu wamepata usugu umefanya bacteria aka advance na kufanya ugonjwa uwe Super gono...

Kuhusu matibabu unatibika ila kwa muda mrf sana wataalamu wanasema unaweza ona umepona kumbe hujapona vzr...kuna mijisindano ndo nasikia inaumaliza..

Proved
 
Sindano za mbwa tu ndio dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…