Halaand sio binadamu, ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya EPL kufunga mabao 70 mapema zaidi

Movic Evara

Senior Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
197
Reaction score
431
Erling Haaland ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya EPL kufunga mabao 70 mapema zaidi.

➜ 69 - Games.
➜ 70 - Goals scored.

Ni wachezaji wawili pekee kwenye historia waliofunga Hat-tricks back to back mara mbili katika ligi kuu ya England (EPL) 🙌

Harry Kane :
⚽⚽⚽ vs Burnley
⚽⚽⚽ vs. Southampton

⚽⚽⚽⚽ vs Leicester
⚽⚽⚽ vs Hull

Erling Haaland

⚽⚽⚽ vs Palace
⚽⚽⚽ vs Nottingham Forest

⚽⚽⚽ vs Ipswich
⚽⚽⚽ vs West Ham

ℹ️ Bernardo Silva amefikisha Assists (44) EPL, Assists nyingi kuliko mchezaji yoyote wa Portugal 🇵🇹 kwenye historia ya EPL.

Full - West Ham 1 - 3 Man City

⚽️⚽️⚽️ Haaland — 10', 30', 83'
⚽ Dias (Own Goal) — 19'

Ni kosa kubwa sana kumuacha kipara (Pep) akutangulie points, Arsenal wameshafanya kosa hilo mapema sana ! 😀

Full - Arsenal 1 - 1 Brighton.

Tom Cruz facts 🧠
 
anatakiwa afunge magoli 70 kila msimu kwa miaka 10 ijayo ili amfikie cr7......kama yeye n allien cr7 ni nani....na Messi je?.......ila anatisha kwenye kufunga.

caree ya Ronaldo EPL ni ya aibu sana ukilinganisha na halland. Speed ya Halland ni ya kutisha sana na ndio mana washabiki wa Messi na Ronaldo wanamchukia sana
 
Hayo mambo wakina mess na ronaldo walishafanya back to back....

CR7 amechukua tuzo ya ballon dior akiwa EPL nitajie mwengine aliyefanya ivo.

Huyu halland anatamba Man city akicheza na team ndogo akicheza na wakubwa wenzie anafichwa haonekani,watu wanamweka kwapani
 
acha kufaninisha Halland na vitu vya kijinga, ROnaldo amefanya nini EPL cha kumzidi Halland?
 
caree ya Ronaldo EPL ni ya aibu sana ukilinganisha na halland. Speed ya Halland ni ya kutisha sana na ndio mana washabiki wa Messi na Ronaldo wanamchukia sana
Labda useme katika ufungaji,ila ukija katika sifa za complete player Halland hampati Messi wala Ronaldo.
Maana Ronaldo na Messi kuna vitu wana offer tofauti na ufungaji.
Hao majamaa wawili wanaweza wakachezesha timu hususan Messi ila Halland anakupa magoli tu.
 
Legacy yao wametengeneza kwa kupiga mabao mengi na mataji na sio kuchezesha timu. wote hao wawili hakuna anaemkaribia Ronaldinho kwa skills, ila heshima yao imekuwa juu zaidi sababu ya manafikio ya magoli, mataji, na records kiujumla. Sasa musitoke kwenye mabano njia waliotumia wao kutengeneza heshima ndio Halland anayopita.
 
Hayo mambo wakina mess na ronaldo walishafanya back to back....

CR7 amechukua tuzo ya ballon dior akiwa EPL nitajie mwengine aliyefanya ivo.

Huyu halland anatamba Man city akicheza na team ndogo akicheza na wakubwa wenzie anafichwa haonekani,watu wanamweka kwapani
Michael Owen amewahi kuchukua Balon Dor akiwa EPL
 
Back
Top Bottom