Halafu kesho unamtuma eti Waziri wa Vijana akaongee na vijana. Akaongee na wanajeshi na Polisi

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Sio huyo tu, hata Mwigulu hatumuhiraji nae aende makambini akaongee na wabeba bunduki.

Hii ndio nchi iliokuwa inaitwa kisiwa cha amani leo inatawaliwa kwa mtutu wa bunduki.

Ni aibu na fedheha tupu mbele ya walimwengu.

Anyway, haya ndio matokeo ya kutawaliwa na viongozi haramu wasio na baraka. Za wananchi.
 
Si mlisema mtawatoa? Vipi?
 
Salary Slip Chadema aliyekubuhu unataka vijana wapambane vita vyako. Mkuu kahamasishe familia yako, wewe siyo kiongozi wa vijana na hawajakutuma.
 
Huyo Mama hakubaliki na haya ndio matokeo
Mama anakubalika sana na maana baada ya hotuba yake unaona Taifa likiwa limetutlia na hakuna anayejihangaisha na maandamano. Si unaona hata wewe pamoja na ujinga wako lakini umekataa kuandamana na kuamua kutulia kwako ukiwa unaperuzi JF kwa raha zako
 
Sio huyo tu, hata Mwigulu hatumuhiraji nae aende makambini akaongee na wabeba bunduki.

Hii ndio nchi iliokuwa inaitwa kisiwa cha amani leo inatawaliwa kwa mtutu wa bunduki.

Ni aibu na fedheha tupu mbele ya walimwengu.

Anyway, haya ndio matokeo ya kutawaliwa na viongozi haramu wasio na baraka. Za wananchi.
Acha hasira. Hao wapo kutulinda sisi raia wema dhidi ya vibaka wanaojidisguise kama waandamanaji.....ukiona mtu ana hasira Sana ujue Leo alipanga kufanya vandalism ya Hali ya juu...
 
Back
Top Bottom