Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Si mlisema mtawatoa? Vipi?Sio huyo tu, hata Mwigulu hatumuhiraji nae aende makambini akaongee na wabeba bunduki.
Hii ndio nchi iliokuwa inaitwa kisiwa cha amani leo inatawaliwa kwa mtutu wa bunduki.
Ni aibu na fedheha tupu mbele ya walimwengu.
Anyway, haya ndio matokeo ya kutawaliwa na viongozi haramu wasio na baraka. Za wananchi.
Utaugua kichaa
Kwani ICC mmefikaje?Si mlisema mtawatoa? Vipi?
Mwalimu mpumbavu sana wewe! Nani kafikishwa/kaitwa ICC rasmi?Kwani ICC.
Kwani ICC mmefikaje?
ICC kuna mafaili yenu au hujui?Mwalimu mpumbavu sana wewe! Nani kafikishwa/kaitwa ICC rasmi?
Nimekuuliza nani kaitwa? Hivi nawewe ni mwalimu na unafundisha kabisa class?? 🤣🤣🤣ICC kuna mafaili yenu au hujui?
Nimekuuliza nani kaitwa? Hivi nawewe ni mwalimu na unafundisha kabisa class?? 🤣🤣🤣
Nimekuuliza nani kaitwa? Hivi nawewe ni mwalimu na unafundisha kabisa class?? 🤣🤣🤣
Subiriri acha kiherere kwani aikwepekiNimekuuliza nani kaitwa? Hivi nawewe ni mwalimu na unafundisha kabisa class?? 🤣🤣🤣
Embu ondoa ujinga wako hapa wewe
Huyo Mama hakubaliki na haya ndio matokeoEmbu ondoa ujinga wako hapa wewe
Salary Slip Chadema aliyekubuhu unataka vijana wapambane vita vyako. Mkuu kahamasishe familia yako, wewe siyo kiongozi wa vijana na hawajakutuma.Sio huyo tu, hata Mwigulu hatumuhiraji nae aende makambini akaongee na wabeba bunduki.
Hii ndio nchi iliokuwa inaitwa kisiwa cha amani leo inatawaliwa kwa mtutu wa bunduki.
Ni aibu na fedheha tupu mbele ya walimwengu.
Anyway, haya ndio matokeo ya kutawaliwa na viongozi haramu wasio na baraka. Za wananchi.
Mama anakubalika sana na maana baada ya hotuba yake unaona Taifa likiwa limetutlia na hakuna anayejihangaisha na maandamano. Si unaona hata wewe pamoja na ujinga wako lakini umekataa kuandamana na kuamua kutulia kwako ukiwa unaperuzi JF kwa raha zakoHuyo Mama hakubaliki na haya ndio matokeo
Wewe ndio mjingaEmbu ondoa ujinga wako hapa wewe
Acha hasira. Hao wapo kutulinda sisi raia wema dhidi ya vibaka wanaojidisguise kama waandamanaji.....ukiona mtu ana hasira Sana ujue Leo alipanga kufanya vandalism ya Hali ya juu...Sio huyo tu, hata Mwigulu hatumuhiraji nae aende makambini akaongee na wabeba bunduki.