Hali aliyokuwa nayo Bob Risky baada ya kuhukumiwa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wizooo naomba niachee, nimecheka had machoziii.
Jaman extro akuoe, huu mwaka tunataka ndoa, lazima tu4c.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wizooo naomba niachee, nimecheka had machoziii.
Jaman extro akuoe, huu mwaka tunataka ndoa, lazima tu4c.
🀣🀣🀣🀣 hivi extro kwann anamuweka mwenzie uchumba sugu hivi??
Wizo kachoka jamani kaamua liwalo na liwe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unanichekeshaa wee, naomba mkaniweke Segerea nasikia kuna wafungwa ma handsome balaa, lazima nkatoke na mimba yaan.
Woiiiiiih.
Ukonga ndo kuna mahendsome balaa, kuna siku niliwaona wanapalilia majani akiiii chupi yote ililowaaaaa ni weusiii wembambaa wamekomaa vifuaa woiiii em niache mie nikalale πŸ€ͺ
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi extro kwann anamuweka mwenzie uchumba sugu hivi??
Wizo kachoka jamani kaamua liwalo na liwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo wizooo etu nae kisangaa, mara Dr, mara Extro, mara Intel, sasa tuende na yupiii? Wana ndugu hatuelewiii.
Woiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo wizooo etu nae kisangaa, mara Dr, mara Extro, mara Intel, sasa tuende na yupiii? Wana ndugu hatuelewiii.
Woiiiiih
Wizo achague mmoja tujue nani anaolewa naye 🀣🀣🀣
Ila mi nilipendekeza dr ndo anamfaa πŸ€­πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Wizo lazima niwepo nishuhudie unavyoenda kwa mumeo ili niwaletee t
mapicha ya wedding JF haters wako wapasuke 🀣🀣🀣🀣
Ukuje na zawadi ya gari sio unakuja tu na komwe lako alaah... Afu nimemuona mabakuli anatumia fekero account nyingine 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…