Elections 2010 Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar

Nasikia Batilda anatapika nyongo kwa kwenda mbele.
 
Naanza kunywa bia kuondoa marue rue ya jana.Kati ya wabunge wapuuzi sijaona zaidi ya Makongoro Mahanga.

Alitukana wapigakura siku moja kabla ya uchaguzi.

Watu wakamsagia meno.

Taarifa hizi ni kwa mijibu wa Afisa Mtendaji wa kata aliyelala saa kumi na moja akifanya majumuisho ya kura.
 
Wakuu wa JF,
Jimbo la Segerea lilimegwa sehemu mbili: Segerea ya Ukonga na segerea ya Tabata inayokomba hadi Buguruni. Makongoro kabaki Segerea ya Tabata na Fredie kapigania segerea ya Ukonga!
Kama kashinda ni raha tupu.

Mkuu Makongoro na Mpendazoe wapo jimbo moja sisi jana tulipiga kura tukamnyima Makongoro
 
Wakuu wa JF,
Jimbo la Segerea lilimegwa sehemu mbili: Segerea ya Ukonga na segerea ya Tabata inayokomba hadi Buguruni. Makongoro kabaki Segerea ya Tabata na Fredie kapigania segerea ya Ukonga!
Kama kashinda ni raha tupu.

Si kweli. Mpendazoe kapigani Segerea ya Segerea (Tabata).
 
Wakuu wa JF,
Jimbo la Segerea lilimegwa sehemu mbili: Segerea ya Ukonga na segerea ya Tabata inayokomba hadi Buguruni. Makongoro kabaki Segerea ya Tabata na Fredie kapigania segerea ya Ukonga!
Kama kashinda ni raha tupu.
Hueleweki. Segerea na Ukonga ni majimbo mawili tofauti. Hakuna Segerea ya Ukonga wala ya Tabata. Ni vyema ungekaa kimya.
 
Amini usiamini. Habari ndo hiyo.

Kama ni kweli hii nzuri sana maana ni mbunge pekee aliyekataa unaafiki na kuacha mpaka mafao yake ya ubunge wa miaka mitano. Hongera sana Mpendazoe.

Nionavyo Watanzania wameamua kuwaathibu mafisadi na vibaraka wao!!
 
Wee unataka partial ya utabiri wa Sheh Yahya utimie nn-utamzimiisha JK then kuapishwa hakuna japo uchaguzi umefanyika! Tafadhali tunataka watakaoshindwa waje kushuhudia mabadiliko ya wateule wapya wakiwa mtaani sio Agakan
 
Jk yupo Mwanza labda arudi kwanza DAr akajionee makomando wake wanavyofanywa kitu mbaya na wapigakura wenye hasira..............
 
Wakuu wa JF,
Jimbo la Segerea lilimegwa sehemu mbili: Segerea ya Ukonga na segerea ya Tabata inayokomba hadi Buguruni. Makongoro kabaki Segerea ya Tabata na Fredie kapigania segerea ya Ukonga!
Kama kashinda ni raha tupu.

Sahihisho- Jimbo la Ukonga ni jingine- Makongoro aligombea jimbo la Segerea. Kama Mpendazoe kashinda ,basi itakuwa ni jimbo la Segerea.

Mgombea wa CCM jimbo la Ukonga ni Mama Mwaiposa, wa Chadema ni Binagi.
 
Nitafurahi sana huyu jamaa akirudi ndani ya mjengo... patakuwa hapatoshi
 
Yote sawa tu ila ushindi uwepo kwa CHADEMA OYYYYYYYYYYYYYYYYYYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
it is obvious kuwa Mnyika ni very focused, determined and smart. JAMAA AKIINGIA BUNGENI NA ALIVYO MTAALAMU WA KUJENGA HOJA , MABO SAFI SAFARI HII, CHADEMA ITS OUR TIME TO BRING CHANGES.
LAKINI BAADA YA UCHAGUZI HUU CHADEMA INATUPASA TWENDE MAENEO YALE AMBAYO HATUKUSHINDA TUKAFANYE OPERATION SANGARA NYINGINE.
 
ushindi mwingine watu wanshindwa kushangilia kutokana na kukosekana kwa DATAZ!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…