Elections 2010 Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar

Elections 2010 Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar

......safi sana...urais tunajjuwa tunashinda wanataka kutuibia..NDIO maana spidi ya kutaja matokeo ya urais imepungua..tutapambana ...hata kama tukishindwa....tutampa DR uwenyekiti wa CHADEMA mara moja aendelee kuimarisha chama wakati wengine wanaendeleza bungeni....
 
Wana wa nchi kokote mlipo nendeni segerea mkamsaidie MPENDAZOE anakimbizana na makongoro kwa kura chache..according to mawakala wa vyama vyote..na mwelekeo ni kumuibia kura....mkichelewa kubana mianya ataangushwa ...lakini tallying zinaonyesha Mpendazoe anamburuta makongoro kwa kura chache...na JK chalii sehemu nyingi huko
 
Wadau!

Mnyika alikuwa live TBC 1 dakika chache zilizopita, pamoja na wanachama wa Chadema, katika kituo kimojawapo cha uchaguzi, wakitaka wasimamizi kutangaza matokeo.

Lakini wamejibiwa ya kwamba kazi hiyo itakamilika usiku!

Tafakari...:loco:
 
Aisee, hii atakuwa amelamba dume. Kawatimulia vumbi CCM. Kwa hiyo Miltoni Makongoro Mahanga Chali?! Basi mwaka huu wananchi wememdisqualify Kikwete katika uwezo wake wa kuteua mawaziri. Idadi ya mawaziri waliopigwa chini inaashiria kwamba mawaziri hawa walikuwa ni mabogasi
 
Good, but Hii tunataka data kweli-otherwise tutamwambia moderator ai-dumpout thread hii
 
Wakuu wa JF,
Jimbo la Segerea lilimegwa sehemu mbili: Segerea ya Ukonga na segerea ya Tabata inayokomba hadi Buguruni. Makongoro kabaki Segerea ya Tabata na Fredie kapigania segerea ya Ukonga!
Kama kashinda ni raha tupu.
 
Hebu weka figures plizzzzzzzzzzzz tuanze kunywa juice kwa furaha!
 
Teh teh........
upepo wa mageuzi huoooooooo waja Tanzania ukianzia VISIWA VYA KARAFUU ZENJ.......
 
Hii ni vigumu kuiamini Du! JK atakufa ghafla, hali itakuwa mbaya sana
 
Back
Top Bottom