Kawaida tuu,kwani kufa SI kupo mkuu,hata ndugu zetu wamekufaa!Katika mazingira tofauti na watu tofauti ninakuwa na hali ambayo nikikutana na mtu yeyote ambaye siku zake za kuishi sio nyingi tena duniani hata kama ni mzima wa afya kuna hisia fulani au kuna namna fulani ambayo ubongo wangu unakuwa unatafsiri mtu uyo sijui kama ninaweza kuelezea vipi ila kiufupi tu kuna kibaridi fulani ninakipataga nikimuona mtu uyo sielewi
Ninaweza kuelezea vipi situation iyo kuna watu kazaa ambao wengi nilikutana nayo nikipata hali iyo cha ajabu utasikia baada ya masiku kazaa wanafariki wengine gafla wengine kwa magonjwa hata nikimuona kwenye tv
Sijui kama hali hii ni mimi peke yangu au wengine wanayo jamani
cv inajitosheleza sioOmba kazi mortuary. Acha kutusumbua
Au awe mchonga majeneza!Omba kazi mortuary. Acha kutusumbua
Hali hiyo mnayo watu wawili tu,wewe andazi na chai ya rangi
Katika mazingira tofauti na watu tofauti ninakuwa na hali ambayo nikikutana na mtu yeyote ambaye siku zake za kuishi sio nyingi tena duniani hata kama ni mzima wa afya kuna hisia fulani au kuna namna fulani ambayo ubongo wangu unakuwa unatafsiri mtu uyo sijui kama ninaweza kuelezea vipi ila kiufupi tu kuna kibaridi fulani ninakipataga nikimuona mtu uyo sielewi
Ninaweza kuelezea vipi situation iyo kuna watu kazaa ambao wengi nilikutana nayo nikipata hali iyo cha ajabu utasikia baada ya masiku kazaa wanafariki wengine gafla wengine kwa magonjwa hata nikimuona kwenye tv
Sijui kama hali hii ni mimi peke yangu au wengine wanayo jamani
Nilivyoona comment yako hali hii nimeipata kabisa sijui itakuwa lini kwako 😃Uwe unajiangalia kwenye kioo ili na wewe ukione kifo chako.
Wew unafaa kwenda simba, yanga au ccm... Utapiga sana pesa sio hapaKatika mazingira tofauti na watu tofauti ninakuwa na hali ambayo nikikutana na mtu yeyote ambaye siku zake za kuishi sio nyingi tena duniani hata kama ni mzima wa afya kuna hisia fulani au kuna namna fulani ambayo ubongo wangu unakuwa unatafsiri mtu uyo sijui kama ninaweza kuelezea vipi ila kiufupi tu kuna kibaridi fulani ninakipataga nikimuona mtu uyo sielewi