Hali hii Sudan inatisha. Hapa sijamwona Mmarekani wala Mrusi. Ni Waafrika wenyewe wanafanyiana huu ukatili

Siku zote nmekuwa nikisema sisi waafrika ni wanyama sana. Wakati tunapambana na mashoga n.k tunasahau huu unyama ambao tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe.

Yaani tunatumia nguvu kubwa kwa mambo ambayo effect yake si kama hii ambayo inaonekana hapa kwenye video(SIUNGI MKONO USHOGA HATA KIDOGO) Ila hawa wanaoua hivi raia kesho utawasikia wanakwambia ushoga ni ushetani (kitu ambacho nakubaliana nao) ila hiki wanachofanya hapa kinaonekana ni kitu cha kawaida.

Hii ni Sudan. Bado lawama utasikia zinaenda kwa wazungu. Ni upumbavu. Hapa nimeangalia kwenye video sijaona mzungu hata mmoja akiua raia hawa kikatili namna hii.

Miafrika ni mijitu ya ajabu sana. Bado ina unyani mpaka leo. Huwezi mfanyia hivi binadamu mwenzio ukiwa nawe ni binadamu. Ni ngumu sana.

Uko sahihi Kwa kiasi kikubwa sana.
Lakini naomba nikukumbushe kitu hapa. Mzungu anaratibu mambo haya Kwa MAARIFA ya juu sana na Huwa hafanyi mambo yake KICHIZI.

Vita hii unaishuhudia Leo lakini pandikizi za mchakato huu zina miaka mingi zaidi.

Jina lako linajieleza Chizi Maarifa .
 
Jitahidi kuutumia vzr ubongo wako ili ukusaidie kuwaza kwa kina.

Naona umewaza juu juu sana kwa kiwango ambacho hata kutatua changamoto za familia yako sidhani kama unamudu (Kama ni mtu mzima lkn).

Sorry naomba kujua jinsia yako kabla sjaendelea kutoa mawazo yangu juu ya hii mada.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hana lolote huyo,hayo anayoyaita unyama yapo kila kona.Israel hapo yapo,marekani yapo.Irani yameisha juzijuzi tu hapa.
Ye kaona Afrika tu
 
Sema tu umeamua kufunga akili yako kwa waafrika,hivi hujawahi kuona/sikia matukio ya kinyama kutoka kwa wazungu/waarabu na race zinginezo.
Hata Israel hapo hujasikia?
Israel naona jinsi wanavyopambana na magaidi. Ila sijazungumzia mazungu wala maarabu. Waafrika hapa wanauana wenyewe kinyama sana. Halafu ilivyo mijinga itakaaa kualumu wazungu na waarabu.
 
Hana lolote huyo,hayo anayoyaita unyama yapo kila kona.Israel hapo yapo,marekani yapo.Irani yameisha juzijuzi tu hapa.
Ye kaona Afrika tu
Kwa hiyo kama yapo kwa waarabu na wazungu ni haki kutendeka hapa? Nyie mbona vilaza sana. Mnaiga hadi upumbavu.
 
Jichanganye
Siku zote nmekuwa nikisema sisi waafrika ni wanyama sana. Wakati tunapambana na mashoga n.k tunasahau huu unyama ambao tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe.

Yaani tunatumia nguvu kubwa kwa mambo ambayo effect yake si kama hii ambayo inaonekana hapa kwenye video(SIUNGI MKONO USHOGA HATA KIDOGO) Ila hawa wanaoua hivi raia kesho utawasikia wanakwambia ushoga ni ushetani (kitu ambacho nakubaliana nao) ila hiki wanachofanya hapa kinaonekana ni kitu cha kawaida.

Hii ni Sudan. Bado lawama utasikia zinaenda kwa wazungu. Ni upumbavu. Hapa nimeangalia kwenye video sijaona mzungu hata mmoja akiua raia hawa kikatili namna hii.

Miafrika ni mijitu ya ajabu sana. Bado ina unyani mpaka leo. Huwezi mfanyia hivi binadamu mwenzio ukiwa nawe ni binadamu. Ni ngumu sana.

Siku moja moja tafuta video za cartels za huko brazil au mexico ndo utajua kuna watu wana roho mbaya
 
Uko sahihi Kwa kiasi kikubwa sana.
Lakini naomba nikukumbushe kitu hapa. Mzungu anaratibu mambo haya Kwa MAARIFA ya juu sana na Huwa hafanyi mambo yake KICHIZI.

Vita hii unaishuhudia Leo lakini pandikizi za mchakato huu zina miaka mingi zaidi.

Jina lako linajieleza Chizi Maarifa .
Migunda unasagwa kweli. Nikija kwako nikakupa kisu na nikampa mdogo wako. Nikawaaambia mchamane. Mtachomana? Mtakuwa wapumbavu na ninyi ndo hamna akili ni kama wanyama tu majogoo wanavyogombanishwa.
 
Jichanganye

Siku moja moja tafuta video za cartels za huko brazil au mexico ndo utajua kuna watu wana roho mbaya
So what? Kwa hiyo kama wapo watu wa hivyo huko na wewe unaiga? Basi huna akili. Hata nyani anakushinda.
 
  • Huwezi ona Mmarekqni wala Mrusi kama huma macho ya kitaaluma.
  • Je unajua historia ya RSF?
 
Naona kwenye huu uzi watetezi wa mashoga wamejitokeza ila niwaambie bora wapigane hivi kuliko ushoga kama ww unatetea basi tushajua huna marinda jitamgaze tu kuwa ww ni shoga unaliwa
 
Hana lolote huyo,hayo anayoyaita unyama yapo kila kona.Israel hapo yapo,marekani yapo.Irani yameisha juzijuzi tu hapa.
Ye kaona Afrika tu
Ni muathirika wa fikra huyo, na mbaya zaidi tayari hayuko sawa.
Kama physically weak, inawezekana vipi mentally awe Strong?

Huyo ni mpigania haki zao, na wamo wengi kwny huu uzi wao. Chunguza vzr uchangiaji wao ndipo utakapogundua ni wa aina gani.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hili jibu lako tu basi inatosha, nmeshaitambua jinsia yako. Sina haja ya kukuelewesha wala kukulaum kwa lolote, maana tayari huna uwezo wa kuwa sawa tena.

Endelea kupigania haki zenu ila acha kupotosha umma kwa kupakaza sum uafrika. We are better than before, na tuko imara haswa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Unazungumziaje hiyo video askari kuua raia kwa namna hiyo hata kama mwenye makosa ni raia?
Afrika akili kidogo ubinafsi mwingi
 
Ni muathirika wa fikra huyo, na mbaya zaidi tayari hayuko sawa.
Kama physically weak, inawezekana vipi mentally awe Strong?

Huyo ni mpigania haki zao, na wamo wengi kwny huu uzi wao. Chunguza vzr uchangiaji wao ndipo utakapogundua ni wa aina gani.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Amejaribu kujificha lakini lengo la uzi wake ni hilohilo la kupigania haki.
 
Hii video inahusika vipi na ushoga? Maana nimeona ushoga umetajwa mara nyingi sana. Au mtoa mada unapigania haki zenu?
Hao ni RSF,zamani waliitwa "janjaweed" ni kikosi kilichoundwa maalum na Al Bashir Ili kuuwa waafrika weusi wakati Ile vita kati SPLA ya John Garang na jeshi la waarabu. Hao jamaa ndio walitumwa kufanya mauaji ya kutisha Darfur! Yaani walifanya ukatili ambao hauwelezeki. Na Kwa ninavyojua,hao jamaa watamshinda Al Burhani.
 
Back
Top Bottom