migunda sagwa
New Member
- Feb 20, 2011
- 2
- 2
Uko sahihi Kwa kiasi kikubwa sana.Siku zote nmekuwa nikisema sisi waafrika ni wanyama sana. Wakati tunapambana na mashoga n.k tunasahau huu unyama ambao tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe.
Yaani tunatumia nguvu kubwa kwa mambo ambayo effect yake si kama hii ambayo inaonekana hapa kwenye video(SIUNGI MKONO USHOGA HATA KIDOGO) Ila hawa wanaoua hivi raia kesho utawasikia wanakwambia ushoga ni ushetani (kitu ambacho nakubaliana nao) ila hiki wanachofanya hapa kinaonekana ni kitu cha kawaida.
Hii ni Sudan. Bado lawama utasikia zinaenda kwa wazungu. Ni upumbavu. Hapa nimeangalia kwenye video sijaona mzungu hata mmoja akiua raia hawa kikatili namna hii.
Miafrika ni mijitu ya ajabu sana. Bado ina unyani mpaka leo. Huwezi mfanyia hivi binadamu mwenzio ukiwa nawe ni binadamu. Ni ngumu sana.
Lakini naomba nikukumbushe kitu hapa. Mzungu anaratibu mambo haya Kwa MAARIFA ya juu sana na Huwa hafanyi mambo yake KICHIZI.
Vita hii unaishuhudia Leo lakini pandikizi za mchakato huu zina miaka mingi zaidi.
Jina lako linajieleza Chizi Maarifa .