F mkamilo
Senior Member
- Nov 19, 2017
- 104
- 540
Sawa ngoja twende taratibu mpka tutafika. Ntakujibu maswali yako yote, ila mpka nigundue vzr uwezo wako wa mapokeo.hoja simple kabisa , mnatumia nguv kweny ushoga jambo linalowahusu wachache pia mlikuwa wapo siku zote dhid ya ushoga mpk mpitie na upepo , kwann nguv hz msitumie kweny kutatua kero za raia , ndo jamaa kaonesha kuwa bado tuna matatizo meng afrika mf hayo yanayotokea hapo kweny clip ila tumefumba macho na video ipo mitandaon
Bado nakufanyia simple analysis ili nisije tupa nguvu/Dawa kwa mgonjwa alieshindikana
Vipi, ww ni miongoni mwa wateteaji haki za ushoga au ni Mpingaji?
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app