Hali hii Sudan inatisha. Hapa sijamwona Mmarekani wala Mrusi. Ni Waafrika wenyewe wanafanyiana huu ukatili

Hali hii Sudan inatisha. Hapa sijamwona Mmarekani wala Mrusi. Ni Waafrika wenyewe wanafanyiana huu ukatili

hoja simple kabisa , mnatumia nguv kweny ushoga jambo linalowahusu wachache pia mlikuwa wapo siku zote dhid ya ushoga mpk mpitie na upepo , kwann nguv hz msitumie kweny kutatua kero za raia , ndo jamaa kaonesha kuwa bado tuna matatizo meng afrika mf hayo yanayotokea hapo kweny clip ila tumefumba macho na video ipo mitandaon
Sawa ngoja twende taratibu mpka tutafika. Ntakujibu maswali yako yote, ila mpka nigundue vzr uwezo wako wa mapokeo.

Bado nakufanyia simple analysis ili nisije tupa nguvu/Dawa kwa mgonjwa alieshindikana

Vipi, ww ni miongoni mwa wateteaji haki za ushoga au ni Mpingaji?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kiwango cha akili yko ni kikubwa sana ndio maana unajua mtu akipewa silaha anaenda kupikia ugali
jitathimin mkuu , kwamba ukipewa silaha kitu cha kwanza ni kuua tu hovyo hovyo bila mpango ? n unataka tumlaumu aliekupa silaha sio wew unaeua ? sorry kama nmetumia lugha ngumu
 
Sawa ngoja twende taratibu mpka tutafika. Ntakujibu maswali yako yote, ila mpka nigundue vzr uwezo wako wa mapokeo.

Bado nakufanyia simple analysis ili nisije tupa nguvu/Dawa kwa mgonjwa alieshindikana

Vipi, ww ni miongoni mwa wateteaji haki za ushoga au ni Mpingaji?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
sitetei ushoga ila sishabikii kuifaya hizo harakati kama kipaumbele cha serikali wakati huu , maana naeza uliza ilikuwa kweny sera zao ? au ndo wamesikia upepo wamesimamisha sera zao wanawekeza nguv kweny ushoga
 
Me sijaelewa,je nikipindi kile Sudani ilipogawanywa au ni ndani ya wiki hii ya wanajeshi au 2019 kipindi Cha maandamano ya kumtoa Bashiri!?.

Naona ngozi nyeusi hapa,je no Sudani kusini ya Juba au ni Sudani ya Darfuru.
Tufafanulie,japo sio watu wazuri aisee.mara Mia umshoot kuriko mateso hayo.

DUNIA HAINA USAWA.
 
Siku zote nmekuwa nikisema sisi waafrika ni wanyama sana. Wakati tunapambana na mashoga n.k tunasahau huu unyama ambao tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe.

Yaani tunatumia nguvu kubwa kwa mambo ambayo effect yake si kama hii ambayo inaonekana hapa kwenye video(SIUNGI MKONO USHOGA HATA KIDOGO) Ila hawa wanaoua hivi raia kesho utawasikia wanakwambia ushoga ni ushetani (kitu ambacho nakubaliana nao) ila hiki wanachofanya hapa kinaonekana ni kitu cha kawaida.

Hii ni Sudan. Bado lawama utasikia zinaenda kwa wazungu. Ni upumbavu. Hapa nimeangalia kwenye video sijaona mzungu hata mmoja akiua raia hawa kikatili namna hii.

Miafrika ni mijitu ya ajabu sana. Bado ina unyani mpaka leo. Huwezi mfanyia hivi binadamu mwenzio ukiwa nawe ni binadamu. Ni ngumu sana.

Laanaturahi mwafrika
 
Me sijaelewa,je nikipindi kile Sudani ilipogawanywa au ni ndani ya wiki hii ya wanajeshi au 2019 kipindi Cha maandamano ya kumtoa Bashiri!?.

Naona ngozi nyeusi hapa,je no Sudani kusini ya Juba au ni Sudani ya Darfuru.
Tufafanulie,japo sio watu wazuri aisee.mara Mia umshoot kuriko mateso hayo.

DUNIA HAINA USAWA.
sudan kusin
 
sitetei ushoga ila sishabikii kuifaya hizo harakati kama kipaumbele cha serikali wakati huu , maana naeza uliza ilikuwa kweny sera zao ? au ndo wamesikia upepo wamesimamisha sera zao wanawekeza nguv kweny ushoga
Nyoosha vizuri maelezo, sio unakaa nusunusu.

1. Unatetea haki za ushoga? au
2. Unapinga ushoga?

Nijibu kama yalivyonyooka hapo, sema kwa kujiamini ili ujulikane vzr kama unapinga niambie "Unapinga ushoga" na kama unatetea niambie "Unatetea haki za ushoga"

Bado kidogo nifikie kwenye hitimisho la kuutambua uwezo wako wa Mapokeo. Kwahiyo naomba unijibu kwa umakini ili tuendelee vzr.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hadi wagner group wapo umo,wagnar anashirikiana na janja weed ethiopia kumpigana na majeshi ya serikali..
 
jitathimin mkuu , kwamba ukipewa silaha kitu cha kwanza ni kuua tu hovyo hovyo bila mpango ? n unataka tumlaumu aliekupa silaha sio wew unaeua ? sorry kama nmetumia lugha ngumu
Hujatumia lugha ngumu mkuu...bali unajitoa kwenye hatia, mfano wewe ndio ungekua mtoa silaha ungeulizwa lengo lako kuwapa watu silaha za hatari kiasi hcho ni kwaajili ya kuchinjia ng'ombe au ni kuwindia ngedere? Ni sawa uulize kwanini simu yangu naitumia kwa mawasiliano km hivi...unashindwa kujua silaha zimeundwa kwa madhumuni gan mkuu, kweli...upo siriazi kweli wewe..au .............................??
 
I love Allah she's so beautiful and his prophet so attractive. Plenty of countless kesses to Allah and prophet Muhammad ❤️ mwaaah mwaah 😘😘 islam oyee uislamu oyee. Allah and prophet Muhammad i love you you so hoottt mwaaah mwaah 😘😘😘💕 mwaaah
 
Back
Top Bottom