Katika kumpenda mtu huwa kuna vitu vingi sanaaa na tunatofautiana.
Kuna Wavulana wanaona mwanamke mwenye makalio makubwa ndiye anabamba sana na Wapo wengine hupenda wanawake modell au Wembamba..
mwengine hivo vyote haangalii unakuta anachojali ni Kukutana na mwanamke fundiiii, yani kitandani mipapaso kama yote kila eneo.. 😀😋
Na wengine ndo hivo tena yani hawataki mwanamke fundi sana, akifikiri ni Tabia za Malaya.
Wenzangu na mimi sasa Kiss 💋 tu demu akiwa fundi na mtashi kwenye denda ndio basi nakufa naoza.
Sasa dhumuni la kuleta bandiko hili ni kwamba, Binafsi nateseka sana kupata Mwanamke anayeweza kufanya vyote ninavyovitaka, yani kila mwanamke na kasolo zake, mwisho wasiku hadi inapelekea kushindwa kukaa na Manzi mmoja.
Mfano:
Mimi nina Mamanzi wawili Paulina na Irene.
Kwa hawa wawili nikiambiwa yupi unaweza kuowa nitasema Paulina, lakini na Irene sitamani kumuacha.
Ila nadhani Siku nikiowa, nikimvika pete mke wangu nitaacha kuchepuka..
Na kuna wakati nawaza au hawa wote sio.
Mke niliopangiwa kumuowa itakuwa bado sijakutana nae ndio maana sijalidhika na mmoja.
au basi acha niishie hapa, maana Pau na irene wananisumbua sana kichwa nimuache nani na nibaki na nani, sitaki nionekane na cheat mtoto wa mtu. 😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔