Hali hii ya Kimahusiano hutukuta Wavulana

Mimi nadhani shida ni kupata tu,
maana swala la kuowa sio kama kununua Nguo kwamba useme kesho naenda shop nachangua jeans moja kali na T-shirt
Kumbe ninmvaa jeans na t-shirt!

Ngoja waje panya road wenzio wachangie
 
Dogo nakupa ushauri:

Kumpata mwanamke mwenye hizo mambo zote si rahisi cha kufanya ni kubadilisha badilisha wasichana

Leo ukimpelekea moto mwenye msambwanda kesho mtafute fundi kitandani fanya hivyo hivyo kwa wengine wenye sifa unazopenda.

Utajikuta kila aina ya mwanamke wa dream yako ushapita naye

Kwa tamaa ulizo nazo ndoa achana nayo utateseka
 
Hata uzunguke dunia nzima

Kamwe hutompata mwanamke alokamilika kila idara, wote ni wazur vipande vipande.

Hapo ndo umuhimu wa ndoa za mitala ulipo, mababu zetu hawakua wapumbavu kuoa wake wengi.
Ndio uweke ndani mama J sasa!! No one is perfect!
 
Nimewaelewa WAVULANA, haya wanaume na nyie IPO vipi hii?
 
Aisee kumbe wewe ni mvulana na kifuani kwako unachuki sana kuhusu dini ukifikia uanaume na uzee si utakufa kabisa.
 
Apandacho mtu ndicho avunacho. Mungu hajawahi kukosea. Ukila vya wenzio na vyako huliwa....
 
Aisee kumbe wewe ni mvulana na kifuani kwako unachuki sana kuhusu dini ukifikia uanaume na uzee si utakufa kabisa.
Sasa babu hili ni jukwaa la Dini kwani..?

acha kunipeleka kwenye uwepo mwingine basi. πŸ€ πŸ˜†πŸ˜€πŸ˜€
 
Apandacho mtu ndicho avunacho. Mungu hajawahi kukosea. Ukila vya wenzio na vyako huliwa....
Unawajua wake za Daudi ? na ni mke yupi alimzaa Suleiman? na alimpata vip mama yake na Suleiman?

Kasome nimekupa home work 🀠
 
Sasa babu hili ni jukwaa la Dini kwani..?

acha kunipeleka kwenye uwepo mwingine basi. πŸ€ πŸ˜†πŸ˜€πŸ˜€
Nimeshangaa sana mwanangu upo kijana tu ila una chuki balaa
 
Pole sana, achana nao wote, fanya mambo mengine...
 
Unawajua wake za Daudi ? na ni mke yupi alimzaa Suleiman? na alimpata vip mama yake na Suleiman?

Kasome nimekupa home work 🀠
Sawa kitukuu cha Mfalme Daudi..uwanja ni wako. Oa hata kumi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…