min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
mkuu nikutoe hofu siwezi kosa uraisi kwa kura halali za wananchi bila aina yoyote ya kono kona.napenda sana vijana wenye ndoto kubwa kubwa za vitu vya maana kama Urais, coz najua ukikosa Urais basi umakamu, au uwaziri mkuu utakuhusu.....
ile ya kuachana nayo ni ile roho ya kunyonga wengine, coz itatatiza ndoto yako š