Hali hii ya kuchukua mwingine akisifiwa huchochewa na nini hasa?

napenda sana vijana wenye ndoto kubwa kubwa za vitu vya maana kama Urais, coz najua ukikosa Urais basi umakamu, au uwaziri mkuu utakuhusu.....

ile ya kuachana nayo ni ile roho ya kunyonga wengine, coz itatatiza ndoto yako 🐒
mkuu nikutoe hofu siwezi kosa uraisi kwa kura halali za wananchi bila aina yoyote ya kono kona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…