Hali ilivyo nchini Somalia

Kama ni hivyo mbona wasomali wanapita hapa nchini kwetu kuelekea Afrika Kusini? Ni nini kinachowakimbiza huko kwao ambako kwa maelezo yako kunafaa kuishi?
Hata watanzania kila siku wanaenda afrika kusini.wasomali wanaoenda africa kusini haimaanishi wamekimbi nchi yao bali ni shughuli za kibiashara
 
Kodi + Tozo + Madeni
Miradi mikubwa eg SGR, STIGLERS', Kuhamia Dodoma, ATCL
Ufisadi, elimu bure, hayo ndiyo chanzo cha maisha magumu hapa nchini
 
Vipi tozo umeikuta huko mkuu?
 
Regional disparity zipo sehemu nyingi sana duniani, ndio maana ukienda Addis Ababa utasema capital ya Africa ila ukiingia ndani ndani huko Ogaden utasema hii nchi ni maskini wa kutupwa!!
Mada imejikita kwenye bei za vyakula na nishati, kote mijini na vijijini kwao ni nafuu kuriko Tanzania. How?? Tuendelee hapo.......
 
Nafikiri hayo yote wanaweza kuyafanya kwa sababu hakuna hofu ya policcm
 
Na vip kuhusiana na totoz upatinaji wake
 
Somalia umekwenda mbali mno.

Hapo Zenji tu maisha ni matamu kuliko hapa Tozo kantri.

Majambawaka yamekamata fursa.
Zanzibar haina tofauti na somalia,isipokuwa hapa kuna amani
1. Barabara ni mbovu,miundo mbinu ya barabara haifai
2. Miji ni michafu sana
3. Wakazi wengi ni masikini wanaishi zile nyumba za kizamani choo kimoja watu 20
4. Watu hawana uwezo wa hata kumudu mlo wa nyama ya ngombe
 
Hali inakuwa ngumu hapa Tz ukilinganisha na Somalia kwa sababu Al Shabab yetu (CCM) ni mbaya zaidi ya ile ya Somalia.
 
Hamia huko huko, umerudi Tanzania kufanya nini? Huku tuachie sisi wagumu tu.

Somalia isikie hivyo hivyo. Wale ni watekaji wa meli kwenye hiyo pwani ya pembe ya Afrika. Wao kununua petroli ya magendo siyo shida hata kidogo. Nchi credible haiwezi kununua bidhaa nje ya mfumo maalum
 
Usifananishe Somalia na vitu vya kijinga, Tanzania ndonchi ya kwanza kwa ujinga na umasikini wa kutupwa uliosababishwa na mifisiemu
 
Weka chuki pembeni chanzo kikuu ni mfumo wa uongozi wa kiislamu. Hata baada ya UHURU angalau nchi za kiafrica ya kiislamu wao Wana nafuu awalambi Sana chumvi kama sisi
 
Kumbe iko ivo

Hongera kwao
 
TANZANIA maendeleo ndio yanafata watu na sio watu ndo ufuata maendeleo
 
Nifanyie moango nikafanye biashara ya Kitimoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…