CCM wahuni Sana Hawa. Ngoja chadema iwanyooshe kwenye mikutano inayoanza tarehe 21Kabisa, yaani hawa jamaa wamekuwa matapeli hadi ni aibu. Nenda sehemu ya ujenzi hapo ndio utajua jamaa wanaendekeza propaganda za kitoto. Nilikuwa mwanza siku moja kabla ya Magufuli kuzikwa Chato. Nilichokiona kwenye hilo daraja, na kilichokuwa kinahubiriwa ni vitu tofauti kabisa. Hadi nikahisi sio hilo daraja nini?