Hali ilivyo utekelezaji ujenzi wa Daraja la Kigongo - Busisi

CCM wahuni Sana Hawa. Ngoja chadema iwanyooshe kwenye mikutano inayoanza tarehe 21
 
Nimeona mkuu, lkn sina hakika na hizi % usijje kushangaa zikabadilika akienda mkuu TANROAD ama naibu waziri.

Nadhani unafahamu mkanganyiko uliopo kwenye % za utekelezaji wa mradi wa JNHPP.
Hayo yako mkuu
 
Huoni miradi mingi iko chini ya kiwango?

Yaani inatekelezwa kwa kubarazwa tu huku wakiiba balaa.. angalia barabara za mwendokasi za sasa. angalia daraja la keko limepindwa utazani linajengwa na mwanafunzi wa form six.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…