Hali ilivyokuwa katika Jiji la Dar wakati vijana CHADEMA wakimchukulia fomu Mbowe

Hali ilivyokuwa katika Jiji la Dar wakati vijana CHADEMA wakimchukulia fomu Mbowe

si muumini wa vyama..ila nadhan kuzidi mshikilia mbowe kama mwenyekiti ni kupoteza karata ya kulaumu Magufuri kuibaka demokrasia..najaribu fikiri tu nje ya box
Hayana uhusiano.Ni kama mbingu na Ardhi
 
Hongera kwa nia zenu na mapenzi yenu.
Sasa nasi wana CCM tukitafuta watu million 2, waka sign , kuomba mheshimiwa Raisi abadilishe katiba na aendelee kugombania uraisi zaidi ya mihula miwili, jee mtatuona tunakosea.

Ni nani aliyekumbia hii nchi ni mali ya CCM? Kama huoni kosa hapo wahi kapate tiba ya afya ya akili mkuu huhitaji hata kupima.
 
Ni nani aliyekumbia hii nchi ni mali ya CCM? Kama huoni kosa hapo wahi kapate tiba ya afya ya akili mkuu huhitaji hata kupima.
Hajitambui mkuu.Ndiyo Tatizo la kukaririshwa
 
Mimi ndo huwa nachukia siasa za tanzania.au za afrika zina upuuzi mwingi sana kuliko akili.

Mbowe kwani hataki uenyekiti? Kama hataki mnamchukulia ili iweje?akija sema hakupenda mlimsukumia tu akajikuta ni mwenyekiti?

Kama ana taka si aende kwa uwazi tu akachukue?
Waangalie hawa vijana kwa umakini miezi kadhaa ijayo watakuja hapa na pale kumnanga mbowe kwa maneno ya kebehi huku wakiunga mkono juhudi.

Badala ya kuchangishana pesa za kusaidia wenye wagonjwa na maradhi wanachangishana kwa mambo ya hovyo.subirini si si nyingi sana.
 
Hapo ndiyo Makao Makuu ya Chadema??!!! Mmmh kweli upinzani bado sana! Tuwape nchi kweli? Ruzuku ya million 320 mnapeleka wapi??
Wewe badala ya kuwashangaa wanaopora pesa na majengo ya umma unamshangaa raia mwema!
 
Ni nani aliyekumbia hii nchi ni mali ya CCM? Kama huoni kosa hapo wahi kapate tiba ya afya ya akili mkuu huhitaji hata kupima.
Basi tuambie WanaCCM inchi yao ni ipi. Ili wakitaka kutoa maoni wawe wanaenda huko kwa sababu na wao ni binadamu wenye utashi wa kutoa maoni!
 
si muumini wa vyama..ila nadhan kuzidi mshikilia mbowe kama mwenyekiti ni kupoteza karata ya kulaumu Magufuri kuibaka demokrasia..najaribu fikiri tu nje ya box
Mandela ,fidel castrol wangeachia njiani Mapambano ingekuaje
 
Namuona mchaga mweupe huyu, huyu mweupe mwingine mchaga na huyu mweusi mpare Yani Kali Sana. Namuona pia aliyeandaa uzi wa jana
 
Hongera kwa nia zenu na mapenzi yenu.
Sasa nasi wana CCM tukitafuta watu million 2, waka sign , kuomba mheshimiwa Raisi abadilishe katiba na aendelee kugombania uraisi zaidi ya mihula miwili, jee mtatuona tunakosea.
Wapatikane wapi
 
Ni nderemo. Ndivyo tunavyoweza kusema wakati makundi ya vijana yalivyofurika makao makuu ya CHADEMA kumchukulia fomu Mwenyekiti anayemaliza muda waje Freeman Mbowe ili agombee tena nafasi hiyo.

Mratibu wa zoezi la kuchangia kumchukulia fomu Mbowe Bwana Daniel Naftali Ngogo amesema pesa zimetumwa nyingi kupita kiasi na lengo la shilingi milioni 1 limevuka kwa mbali.Mpaka leo kabla ya kuchukua fomu zimechangwa shilingi milioni 5 na laki 6 Taslimu.Ngogo amesema katika orodha ya michango kiasi cha chini kilichotumwa ni shilingi 150 na kiwango cha juu ni shilingi laki 2

Tazama video chini jinsi ilivyokuwa

View attachment 1272250
View attachment 1272251
Mkuu Mbowe usiwaangushe hawa vijana , hebu wakubalie ombi lao
 
Hongera kwa nia zenu na mapenzi yenu.
Sasa nasi wana CCM tukitafuta watu million 2, waka sign , kuomba mheshimiwa Raisi abadilishe katiba na aendelee kugombania uraisi zaidi ya mihula miwili, jee mtatuona tunakosea.
kwanini isiwe uenyekiti wa milele wa ccm ?
 
Back
Top Bottom