monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,888
- 13,645
Safi sana!
Dj bhana..anatoa hela mfuko wa kulia na kuiweka mfuko wa kushoto...Ni nderemo. Ndivyo tunavyoweza kusema wakati makundi ya vijana yalivyofurika makao makuu ya CHADEMA kumchukulia fomu Mwenyekiti anayemaliza muda waje Freeman Mbowe ili agombee tena nafasi hiyo.
Mratibu wa zoezi la kuchangia kumchukulia fomu Mbowe Bwana Daniel Naftali Ngogo amesema pesa zimetumwa nyingi kupita kiasi na lengo la shilingi milioni 1 limevuka kwa mbali.Mpaka leo kabla ya kuchukua fomu zimechangwa shilingi milioni 5 na laki 6 Taslimu.Ngogo amesema katika orodha ya michango kiasi cha chini kilichotumwa ni shilingi 150 na kiwango cha juu ni shilingi laki 2
Tazama video chini jinsi ilivyokuwa
View attachment 1272250
View attachment 1272251
Watanzania tuna mpango pia wa kumuomba rais akae madarakani hadi 2035. Tunabadili katiba.Kama vijana wamejitokeza kumuchukulia fomu ya kuendelea kutetea nafasi yake ya uenyekiti wa chama Mr mbowe. Basi tusilaumu hata kidogo kundi la Watanzani wanyonge wakiingia barabarani 2025 kumushinikiza Rais Magufuli Aendelee kutetea kiti chake Cha urais...
Mbowe Tano TenaWatanzania tuna mpango pia wa kumuomba rais akae madarakani hadi 2035. Tunabadili katiba.
Na hili pia mlikubali.
Daaah akili ya puani kabisa hii... Kwahiyo katiba ya chama Cha democrasia ndo inasema mwenyekiti agombee nafasi yake Maisha yake yote pasipo na kikomo?.
Hivi mkuu ulisoma hata ile topic ya Democracy kidato Cha pili (Civics) Ukapata hata kujua sifa za democrasia?
Au nyie ndo wale wa kutoka usinginzini na kuanza kucharaza pasipo kufanya self evaluation juu ya unachotaka kukiandika.
Harafu Watoto wako wakifeli mitihani unakuja na Uzi wa kuilaumu serikali kutofaulisha wakati baba mwenyewe kichwa maji haelewi vitu vidogo vidogo Kama hivi ambavyo hata mtoto wa kidato Cha nne anaweza akavieleza pasipo chenga..
Back to school you poor dady.
Katiba ya nchi ni ya CCM? Labda kama mnataka kubadilisha katiba awe mwenyekiti wenu wa milele huko Lumumba.Hongera kwa nia zenu na mapenzi yenu.
Sasa nasi wana CCM tukitafuta watu million 2, waka sign , kuomba mheshimiwa Raisi abadilishe katiba na aendelee kugombania uraisi zaidi ya mihula miwili, jee mtatuona tunakosea.
Mbowe ameiangamiza CHADEMA
Mkuu CCM wanahangaika Sana kutaka Mbowe asiwe kiongozi wa CHADEMA kwa nguvu tuliyoiona ya kungaa mkono Serikali na Viongozi wa Upinzani kuhamia CCM, Ni ngumu Sana kupata mtu Aina ya Mbowe,Bado miaka 6....tuanze upya Acha Mbowe apeleke mawazo mbadala Hadi 2025!si muumini wa vyama..ila nadhan kuzidi mshikilia mbowe kama mwenyekiti ni kupoteza karata ya kulaumu Magufuri kuibaka demokrasia..najaribu fikiri tu nje ya box
CHADEMA itakapobaki na mbunge mmoja mwakani, ndio mtakapoona Mbowe hafai
Unataka muingize vibaraka wenu ka Lyatonga, propesa Li-pumba, nk, nk, au??si muumini wa vyama..ila nadhan kuzidi mshikilia mbowe kama mwenyekiti ni kupoteza karata ya kulaumu Magufuri kuibaka demokrasia..najaribu fikiri tu nje ya box
Kumbe Tanzania Kuna Upinzani!! Duuh poleni Sana .Mbowe anahusikaje katika hili? Wekeni mazingira ya uchaguzi yawe sawa Kwa kila chama ndo mtajua kuwa CCM ilishakufa kitambo.
Kama ninyi mnapendwa Sana, mmefanya mambo mazuri yanayoonekana Kwa wananchi, viwanda vingi kuliko nchi ya ujerumani, shule bure, Barbara, ndege, treni ya mwendo kasi, stiglers' gorge power project .... Mention any. Hayo yote yanawatangaza. Kwanini kutumia nguvu nyingi hivi kuzuia wapinzani wasiongee?
Kwanini kumfunga mshindani wako mikono Kwa nyuma, kipa umemfunga kitamba machoni, halafu unaanzisha pambono la mpira. Refa wakwako, linesmen wako, kamisaa wa mchezo wakwako,. Na Baadae kama zuzu unajisifia ushindi wakishindooooo... Unaakili kweli wewe?
Weka mazingira ya siasa na uchaguzi neutral uone nani ni zaidi.
Safi sana , acha wale wafuate MPANGO wa jiwe, mwisho wao watauona tu mbeleni.nawapongeza sana makamanda kwa kuwakilisha vyema. chama hiki ni mpango wa Mungu.
Upo saaaana tu ila hatutaki kuonyesha kwa sababu ya halitete anayosababisha Jiwe na genge lake la ubabe. Uitaka kulijua hili waambie waweke mazingira sawa na fursa kwa wote ndo utajua kua kile chama kilishakufa kitambo sana ila watu wanavunga tu maana hakuna namna kwa sasa.Kumbe Tanzania Kuna Upinzani!! Duuh poleni Sana .
100% mkuuHakika Demokrasia imetamalaki CDM
Time will tell, let see whats next.mi kijana tu sheikh wangu...ila wacha maneno yangu yanihukumu
Ingekuwa rahisi ningeomba nijue nafasi yako darasani primary hadi secondary ulikuwa wa ngapi toka mwisho. Hakuna chama chenye democrasia nchi hii kama CHADEMA. Viongozi wake huchaguliwa hivyo ujue kuwa Mbowe hateuliwi bali anachaguliwa. Kuwa na wafuasi wanaomuunga mkono ni haki yake kama . Na katiba inamruhusu kugomemba sasa udictactor uko wapi hadi umlinganishe na madictactor? Mwenyekiti wao huwa hana mpinzani na hakuna hata uchaguzi ni kukabidhiwa tu uwenyekiti? Unahaki kuendelea kuwa nje ya box kila la kheri mkuu.si muumini wa vyama..ila nadhan kuzidi mshikilia mbowe kama mwenyekiti ni kupoteza karata ya kulaumu Magufuri kuibaka demokrasia..najaribu fikiri tu nje ya box