- Thread starter
- #121
Vijana wameamua.Hhahhaha, kwa utawala huu ni bora Mbowe akaendelea kuwa mwenyekiti
Vijana wameamua.Hhahhaha, kwa utawala huu ni bora Mbowe akaendelea kuwa mwenyekiti
Blah BlahMbona katumia mbinu za kizamani? Hii ni sinema km zile sinema za bongo muvi za kina mlela na ebitoke....
Halaf ukiangalia hyo picha ati Chadema makao makuu miaka yote mnakaa kwenye banda la bata si bora mchange mjenge ofis ya kisasa ... kweli?
VivaViva Mbowe Aluta continue!
Kwa kweli hajui kituWewe ni mnene hujui lolote
Muulize Mbowe aliyewaalika!TBC ndiyo mdudu gani? View attachment 1272558
Kama vijana wamejitokeza kumuchukulia fomu ya kuendelea kutetea nafasi yake ya uenyekiti wa chama Mr mbowe. Basi tusilaumu hata kidogo kundi la Watanzani wanyonge wakiingia barabarani 2025 kumushinikiza Rais Magufuli Aendelee kutetea kiti chake Cha urais...
Ubarikiwe sana Kamanda.Umetema madini matupuWhat an Idiot, unalinganisha u-Rais wa nchi na uwenyekiti wa chama??? Unaijua maana ya katiba? Je, Mr. Mbowe anagombea kwa kuvunja katiba au unafikiri hawa vijana wanaenda kumshawishi agombee kinyume na katiba ya chama?
Vichwa mnavyo lakini havitaki kufikiri.....
Daaah akili ya puani kabisa hii... Kwahiyo katiba ya chama Cha democrasia ndo inasema mwenyekiti agombee nafasi yake Maisha yake yote pasipo na kikomo?.What an Idiot, unalinganisha u-Rais wa nchi na uwenyekiti wa chama??? Unaijua maana ya katiba? Je, Mr. Mbowe anagombea kwa kuvunja katiba au unafikiri hawa vijana wanaenda kumshawishi agombee kinyume na katiba ya chama?
Vichwa mnavyo lakini havitaki kufikiri.....
Mkuu mbona wewe ndo mjinga Tena wa kiwango Cha SGR kabisa.Umeisoma katiba ya Tanzania?
Mjinga wewe unadhania uras wa nchi unaenda kwa katiba ya ccm?
Hizo ni mbinu zao mpya. Baada ya kuonekana suala la kumchafua halifui dafu ndio kwanza anazidi kukubalika, sasa wamekuja na ya kujifanya kumuunga mkono.TBC hii ya magufuli? Basi mbowe atakua km sio pandikzi la ccm basi atakua amefika(amenunuliwa) km lipumba ili aiue chadema vipande2. Kwa tulipofika mbowe akae pembeni awe mshauri mkuu aachie damu changa ziendeshe cha kwa mashlahi ya taifa.
Hivi Mbowe anawavusha kwenda wapi mkuu?#Mbowe tena na wavimbe wapasuke..DADEKI
#MWAMBA TUVUSHE
Nyie mtaemdelea kuwa wasindikizaji daima!Huwa unatapatapa mpaka unatia kinyaa
Mbowe karithi mbinu za mzee lowassa za kushawishiwa achukue fomu [emoji3]Kamanda tuvushe tufike salama
Mkuu mbona wewe ndo mjinga Tena wa kiwango Cha SGR kabisa.
Pengine hiki kifungu umekitoa kwenye katiba yenu ya wajinga.. hivyo Basi siwezi kushindana na wewe Bali kukuhurumia tu.
. Basi tusilaumu hata kidogo kundi la Watanzani wanyonge wakiingia barabarani 2025 kumushinikiza Rais Magufuli Aendelee kutetea kiti chake Cha urais...
Nchi ya ahadiHivi Mbowe anawavusha kwenda wapi mkuu?
Acha Blah BlahMbowe karithi mbinu za mzee lowassa za kushawishiwa achukue fomu [emoji3]
Wanachama ndiyo wanaojua umuhimu wake hata akiongoza miaka 40 wewe chakuuma nini?Nyie mtaemdelea kuwa wasindikizaji daima!
Sasa hiki ndio nini jamani? Mtu miaka zaidi ya 20 kwenye kiti kile kile,
Hivi mnaposema ccm ikae pembeni kwa kushindwa kuwaletea wananchi maendeleo huwa mnakumbuka pia kumwambia Mbowe akae pembeni kwa kushindwa kuivusha chadema Kwenda Ikulu kwa miaka lukuki?