Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Jumapili ya leo ni mwendo wa kugawa upendo kwa yoyote anayetaka connection aje pm na namba yake tu nigawe upendo basi tuendelee wakuu yaani hawa viumbe hawa bwana sio poa kabisa yaani bwana nimechoka kabisa
Kuna yule Mc comedian,mgogo, na kuna kipindi alikuwa mwalimu wa shule ya sekondari baada ya kuona ualimu haumlipi akaamua kuingia kwenye uchekesheshaji kuna methali ya kiswahili inasema" pilipili usiyoila inakuwasha nini?" nafikiri hapo mmenielewa kama haujaelewa jiulize kwanini ulikimbia umande?
Na mnakumbuka mke wake nae alisomea uchungaji? Na yeye ni mchungaji? Basi bwana Ile pisi ya mgogo imeliwa na mtu fulani nae ni maarufu tu! Yaani hawa viumbe bwana sio poa kabisa
#kataa ndoa,ndoa ni utapeli# mods sijamsema mtu tafadhali#
# kesho nitawaletea simulizi ya mwingine yaani hali si hali wakuu#