kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 3,150
- 7,790
Hivi bank wanaruhusiwa kuzirudiaha kwenye mzunguko fedha zenye hayo maandishi? Au ukipewa change dukani unatakiwa kukataa hiyo fedha?
Kuikataa ni suluhisho.Hivi bank wanaruhusiwa kuzirudiaha kwenye mzunguko fedha zenye hayo maandishi? Au ukipewa change dukani unatakiwa kukataa hiyo fedha?
Hata sijui ni sheria ili mkuu ila walisema noti zao zinachafuka na kupoteza ubora.Walikataza kwa sheria ipi?
Unakataa hela ..?Kuikataa ni suluhisho.
Iliyochakaa, ndio.Unakataa hela ..?
Kisa NO REFORMS NO ELECTIONIliyochakaa, ndio.
ATM unaikataaje mkuu?Kuikataa ni suluhisho.
Uharibifu sasa huuHii ni Nini jamani, au ndo civil disobedience, na vijana Sahivi wameapa kuzipiga chata notes za TSH chapa ya no reform no election.
ATM gani wametoa fedha hiyo?ATM unaikataaje mkuu?
Sio alama rasmi kwenye noti husika. Ni uchafu. Kwanini uchafue noti kwa makusudi? Huo ni uvunjifu wa sheria.Kisa NO REFORMS NO ELECTION
NO REFORMS NO ELECTIONSio alama rasmi kwenye noti husika. Ni uchafu. Kwanini uchafue noti kwa makusudi? Huo ni uvunjifu wa sheria.
Kijiko nacho kimefikia wapi?Duh umma umefikia huku
Umetoka kwenye mjadala wenye mantiki, umeanza kufanya utoto. Kwa heri.NO REFORMS NO ELECTION
mbona mnachafua noti kwa saini za mafisadi
Utoto tena.Umetoka kwenye mjadala wenye mantiki, umeanza kufanya utoto. Kwa heri.
safi ila ukikamatwa nayo utaeleza na kesi haina dhamanaNimekutana nazo aisee mpaka kwa atm zinatoka na hayo maandishi ila saafi sana.
No REFORMS NO ELECTION
Sasa mkuu nimetoa ATM ipo hivyo hivyo nitupe..?safi ila ukikamatwa nayo utaeleza na kesi haina dhamana
Nimetoa kwenye page ya SativaIyo ni kazi ya mikono yako