Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
- Thread starter
- #41
Nimetoa kwenye page ya SativaMbona kma ndo wewe mwenyewe uliyefanya hivi?
Nimetoa kwenye page ya SativaMbona kma ndo wewe mwenyewe uliyefanya hivi?
Nimetoa kwenye page ya SativaA
Acha upumbavu, unatuchafulia fedha.
Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya Mwaka 2006. Kifungu cha 26.Walikataza kwa sheria ipi?
Nimezitoa kwenye page ya SativaUmefanya mwenyewe
Sawa pole kaka ujue izo ni propaganda ,ila ukweli ni kwambia Watanzania wengi awajui Wala kueleewa izo mambo ya no reform no election maana AYANA msingiNo
Nimezitoa kwenye page ya Sativa
toa taarifa kwenye mamlaka ili uwe na ushahidi la sivyo ukikutwa na una kesi ya uhujumu uchumiSasa mkuu nimetoa ATM ipo hivyo hivyo nitupe..?
Fesha ipi??A
Acha upumbavu, unatuchafulia fedha.
Kwahiyo bora lipi fedha yetu iendekuharibiwa au kukubali reforms zenye faida?Sio alama rasmi kwenye noti husika. Ni uchafu. Kwanini uchafue noti kwa makusudi? Huo ni uvunjifu wa sheria.
Mungu wabariki WananchiHii ni Nini jamani, au ndo civil disobedience, na vijana Sahivi wameapa kuzipiga chata notes za TSH chapa ya no reform no election.
Uhujumu uchumu unaifabywa na mafisiemu hamuuoni ..?toa taarifa kwenye mamlaka ili uwe na ushahidi la sivyo ukikutwa na una kesi ya uhujumu uchumi
Acha kutishia watu wewesafi ila ukikamatwa nayo utaeleza na kesi haina dhamana
faida zipi??Kwahiyo bora lipi fedha yetu iendekuharibiwa au kukubali reforms zenye faida?
Uchaguzi huru,haki na safi usio na mawaa,utekaji ,utesaji,uuwaji utakuwa basi kwani uwajibikaji na hatua na haki vitaonekana vikitendeka.faida zipi??