Hali inatisha, Uswahilini Dar es salaam watu wamepigika na maisha mpaka basi. Nyuso zimekosa nuru

Hali inatisha, Uswahilini Dar es salaam watu wamepigika na maisha mpaka basi. Nyuso zimekosa nuru

Watu wapo majalala!!! Yani ukiweza kula milo 3 na maji Safi, ukapata matunda kidogo, halafu chenji ikabaki ukapita kwa wakala ukamwambia weka hii kwa tigo pesa au m pesa itanifaa baadae. Aiseee shukuru Mungu sana.
Kabisaa
 
Back
Top Bottom