Bei ya diesel kwa mara ya kwanza duniani (hapa kwetu) ipo juu kuliko petrol.
Bila shaka lengo ni kuwapa wepesi boda boda na wenye vi IST waache kumpigia mbuzi kelele.
Ngoma ipo kwa wasafirishaji bidhaa na watu.
Tulipo sasa, kwa hakika tunauhitaji sana ubinadamu wa kila mtu akiwamo serikali.
Enyi serikali mliotutelekeza watendeeni haki japo wasafirishaji hawa kwa:
1. Kuondoa ma faini bambikizi yanayozalisha lalamikiwa kila leo.
2. Kuondoa ushuru na tozo za hovyo hovyo lukuki majiani.
3. Ahirisheni matakwa yasiyokuwa na tija ya ving'amuzi na gharama zake.
4. Nk
Kero zinazoepukikwa ziko nyingi.
Kwa hakika huu ni muda wa kuvaa nyuso za kibinadamu mkiwamo nyie.