Hali ngumu kwa Mayele ila ngumu zaidi kwa Inonga

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
DRC walikua wanakipiga dhidi ya Mauritania leo na kuibuka na jumla ya magoli 3-1 huku mzee wa kutetema na mkali wa kuzifumania nyavu kutoka timu ya Yanga Fiston Kalala Mayele akianzia benchi na kupata angalau dakika 4 za kupasha mwili joto kwani aliingia dakika 86 japo hajatupia chuma chochote.

Huku Fiston akipata nafasi ya kuingia angalau na kupasha mwili joto mchezaji mwenzake toka Simba yeye hakujulikana hata yupo wapi hajapata hata zile dakika za nyongeza za kupasha mwili joto.

Hongera Fistoo nahisi next game utapata muda zaidi.
 
Kwanini Mayele apate namba na Inonga wetu Bacca Varrane hata kwenye mbao ndefu asikae.

Next sio lazima kujadili vingine chukua kama taarifa.
Huna hata akili ndogo ya kujua hawawezi kuingia wachezaji wote 20? Kama mantiki ni hiyo mbona hatumjadili Kibwana aliyekalia bench Stars. Fich upumbavu bro
 
Hahahaa upumbavu tena kuna kitu nimesoma leo kanasema defence mechanism ya mashabiki wa Simba wengi ni Matusi japo mimi Simba ila najitaidi sana kuficha ujinga wangu sitaki kuwa kati ya wale mashabiki Rage aliwazungumzia.
 
DRC walikua wanakipiga dhidi ya Mauritania leo na kuibuka na jumla ya magoli 3-1 huku mzee wa kutetema na mkali wa kuzifumania nyavu kutoka timu ya Yanga Fiston Kalala Mayele akianzia benchi na kupata angalau dakika 4 za kupasha mwili joto kwani aliingia dakika 86 japo hajatupia chuma chochote.

Huku Fiston akipata nafasi ya kuingia angalau na kupasha mwili joto mchezaji mwenzake toka Simba yeye hakujulikana hata yupo wapi hajapata hata zile dakika za nyongeza za kupasha mwili joto.

Hongera Fistoo nahisi next game utapata muda zaidi.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahaa upumbavu tena kuna kitu nimesoma leo kanasema defence mechanism ya mashabiki wa Simba wengi ni Matusi japo mimi Simba ila najitaidi sana kuficha ujinga wangu sitaki kuwa kati ya wale mashabiki Rage aliwazungumzia.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahaa upumbavu tena kuna kitu nimesoma leo kanasema defence mechanism ya mashabiki wa Simba wengi ni Matusi japo mimi Simba ila najitaidi sana kuficha ujinga wangu sitaki kuwa kati ya wale mashabiki Rage aliwazungumzia.
Hii inathibitisha lugha sio akili. Huyu amewezaje kuandika kwa usahihi defence mechanism, halafu akakosa akili ndogo ya kujua Congo isingeingiza wachezaji 20. Halafu unataka tukuiteje kama sio fool beyond repair?
 
Kwanini Mayele apate namba na Inonga wetu Bacca Varrane hata kwenye mbao ndefu asikae.

Next sio lazima kujadili vingine chukua kama taarifa.
Kagusa mpira mara. Ngapi uyo ng’ombe wa kimasai?
 
Hii inathibitisha lugha sio akili. Huyu amewezaje kuandika kwa usahihi defence mechanism, halafu akakosa akili ndogo ya kujua Congo isingeingiza wachezaji 20. Halafu unataka tukuiteje kama sio fool beyond repair?

Hahaha punguza makasiriko mkubwa good enough hakuna tusi jipya chini ya jua,,, labda utukane kwa kilugha chenu ndio ntasema una kitu kipya ila kwa lugha ya mzungu nop hakuna jipya kaka mkubwa.

Mbona wameingiza 11 ila mtoboa nyavu Fiston Kalala Mayele Mshindi wa goli bora Raundi ya Tano confederation Cup kapata nafasi ya kupasha mwili joto.
 
usimba na u yanga utatuua

kuna wana simba walitamani taifa stars ichapwe

kuna mimi nilitamani ishinde, ila baada ya kuingia feitoto nilitaman achomeshe ngoma itoke draw wamteme taifa stars

yaani huu usimba na u yanga umesha kuwa kansa mbaya sana
 
Hii inathibitisha lugha sio akili. Huyu amewezaje kuandika kwa usahihi defence mechanism, halafu akakosa akili ndogo ya kujua Congo isingeingiza wachezaji 20. Halafu unataka tukuiteje kama sio fool beyond repair?
Mzee wa kuwafananisha kibu na Mayele nani zaidi, vipi unajibu hapahapa au kule kwenye uzi wako?
 
Back
Top Bottom