bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
DRC walikua wanakipiga dhidi ya Mauritania leo na kuibuka na jumla ya magoli 3-1 huku mzee wa kutetema na mkali wa kuzifumania nyavu kutoka timu ya Yanga Fiston Kalala Mayele akianzia benchi na kupata angalau dakika 4 za kupasha mwili joto kwani aliingia dakika 86 japo hajatupia chuma chochote.
Huku Fiston akipata nafasi ya kuingia angalau na kupasha mwili joto mchezaji mwenzake toka Simba yeye hakujulikana hata yupo wapi hajapata hata zile dakika za nyongeza za kupasha mwili joto.
Hongera Fistoo nahisi next game utapata muda zaidi.