Hapa tunajadili nini
Sawa, Angalau wewe umejibu.kwa staha. Sasa tuambie Inonga ana hali ngumu kivipi?Vitu vingine ni taarifa kwa watu wengine, chukulia kama taarifa
Huna hata akili ndogo ya kujua hawawezi kuingia wachezaji wote 20? Kama mantiki ni hiyo mbona hatumjadili Kibwana aliyekalia bench Stars. Fich upumbavu broKwanini Mayele apate namba na Inonga wetu Bacca Varrane hata kwenye mbao ndefu asikae.
Next sio lazima kujadili vingine chukua kama taarifa.
Huna hata akili ndogo ya kujua hawawezi kuingia wachezaji wote 20? Kama mantiki ni hiyo mbona hatumjadili Kibwana aliyekalia bench Stars. Fich upumbavu bro
[emoji3][emoji3][emoji3]DRC walikua wanakipiga dhidi ya Mauritania leo na kuibuka na jumla ya magoli 3-1 huku mzee wa kutetema na mkali wa kuzifumania nyavu kutoka timu ya Yanga Fiston Kalala Mayele akianzia benchi na kupata angalau dakika 4 za kupasha mwili joto kwani aliingia dakika 86 japo hajatupia chuma chochote.
Huku Fiston akipata nafasi ya kuingia angalau na kupasha mwili joto mchezaji mwenzake toka Simba yeye hakujulikana hata yupo wapi hajapata hata zile dakika za nyongeza za kupasha mwili joto.
Hongera Fistoo nahisi next game utapata muda zaidi.
[emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaa upumbavu tena kuna kitu nimesoma leo kanasema defence mechanism ya mashabiki wa Simba wengi ni Matusi japo mimi Simba ila najitaidi sana kuficha ujinga wangu sitaki kuwa kati ya wale mashabiki Rage aliwazungumzia.
Hii inathibitisha lugha sio akili. Huyu amewezaje kuandika kwa usahihi defence mechanism, halafu akakosa akili ndogo ya kujua Congo isingeingiza wachezaji 20. Halafu unataka tukuiteje kama sio fool beyond repair?Hahahaa upumbavu tena kuna kitu nimesoma leo kanasema defence mechanism ya mashabiki wa Simba wengi ni Matusi japo mimi Simba ila najitaidi sana kuficha ujinga wangu sitaki kuwa kati ya wale mashabiki Rage aliwazungumzia.
Kagusa mpira mara. Ngapi uyo ng’ombe wa kimasai?Kwanini Mayele apate namba na Inonga wetu Bacca Varrane hata kwenye mbao ndefu asikae.
Next sio lazima kujadili vingine chukua kama taarifa.
Hii inathibitisha lugha sio akili. Huyu amewezaje kuandika kwa usahihi defence mechanism, halafu akakosa akili ndogo ya kujua Congo isingeingiza wachezaji 20. Halafu unataka tukuiteje kama sio fool beyond repair?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa tunajadili nini
Mzee wa kuwafananisha kibu na Mayele nani zaidi, vipi unajibu hapahapa au kule kwenye uzi wako?Hii inathibitisha lugha sio akili. Huyu amewezaje kuandika kwa usahihi defence mechanism, halafu akakosa akili ndogo ya kujua Congo isingeingiza wachezaji 20. Halafu unataka tukuiteje kama sio fool beyond repair?