Hali ni mbaya, kazi yoyote inahitajika

Islam005

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,354
Reaction score
3,623
Ndugu zangu msinichoke bado sijapata ajira. Nilisoma IT lakini ninaweza kufanya kazi yoyote. Kama una duka au biashara naomba uniamini nije nifanye kazi yako kwa ufanisi. Napatikana Dar es salaam.

Hata wale wenye vibanda sabasaba kama unahitaji kibarua, nipo.
 
Una miaka 24 na kuendelea...? Unaweza kufanya kazi ya ulinzi day&night?

Kama una...
1.Cheti cha kuzaliwa
2.TIN...pamoja na kitambulisho cha nida

3.Vyeti original tumia vya kidato cha nne na wala usiseme kuwa unayo elimu kubwa zaidi ya hiyo
4.Wadhamini wawili

Watembelee gardaworld wapo pale Mikocheni kwa Mwinyi...
 
Mshahara ngapi?
 

Em fuatilia hiyo comment
 
Je kama huna mafunzo ya ulinzi wanakubali.? πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…