Hali ni mbaya, kazi yoyote inahitajika

Hali ni mbaya, kazi yoyote inahitajika

Islam005

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,354
Reaction score
3,623
Ndugu zangu msinichoke bado sijapata ajira. Nilisoma IT lakini ninaweza kufanya kazi yoyote. Kama una duka au biashara naomba uniamini nije nifanye kazi yako kwa ufanisi. Napatikana Dar es salaam.

Hata wale wenye vibanda sabasaba kama unahitaji kibarua, nipo.
 
Una miaka 24 na kuendelea...? Unaweza kufanya kazi ya ulinzi day&night?

Kama una...
1.Cheti cha kuzaliwa
2.TIN...pamoja na kitambulisho cha nida

3.Vyeti original tumia vya kidato cha nne na wala usiseme kuwa unayo elimu kubwa zaidi ya hiyo
4.Wadhamini wawili

Watembelee gardaworld wapo pale Mikocheni kwa Mwinyi...
 
una miaka 24 na kuendelea...?
unaweza kufanya kazi ya ulinzi day&night?

kama una...
1.cheti cha kuzaliwa
2.tin...pamoja na kitambulisho cha nida

3.vyeti original tumia vya kidato cha nne na wala usiseme kuwa unayo elimu kubwa zaidi ya hiyo
4.wadhamini wawili

watembelee gardaworld wapo pale mikocheni kwa mwinyi...
Mshahara ngapi?
 
Nawashukuru wote ambao mlichangia uzi huu na kutoa mawazo yenu, kile nilichokiwasilisha hapa tayari kimepata wahusika, naimani mda si mwingi watawatangazia humu Nini wanakifanya .


Niombe Kama Kuna kijana wa IT ambae yupo njombe na Hana ajira aje inbox hata watatu sawa Nina Jambo lenu hapo

Em fuatilia hiyo comment
 
una miaka 24 na kuendelea...?
unaweza kufanya kazi ya ulinzi day&night?

kama una...
1.cheti cha kuzaliwa
2.tin...pamoja na kitambulisho cha nida

3.vyeti original tumia vya kidato cha nne na wala usiseme kuwa unayo elimu kubwa zaidi ya hiyo
4.wadhamini wawili

watembelee gardaworld wapo pale mikocheni kwa mwinyi...
Je kama huna mafunzo ya ulinzi wanakubali.? 🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom