Si wanadai uki paste unakuwa disregarded, tatizo siwezi ona hadi nimalize process ya kujaza detail ambapo ndio kuna hio mandatory field ya kujielezaKwa Fiverr wewe check wenzako wanaotoa huduma ( gigs ) kama zako wameandikaje.
Angalia hasa wale wa Level 2.
Cc Nafaka
Ingia kupitia browser, then search kama guest.Si wanadai uki paste unakuwa disregarded, tatizo siwezi ona hadi nimalize process ya kujaza detail ambapo ndio kuna hio mandatory field ya kujieleza
Naelewa hilo, kwani kitu gani halali ni rahisi boss? Ni juhudi na Investment. Sema kuwa Translator wa Kiswahili kuna less competition kuliko area nyingi kwa sababu watu wanaojua kiswahili mule ni wachache ukilinganisha na vitu vingine. So chances za ku bump na opportunity ni kubwa zaidi.Hio kitu sio rahisi kama inavyoandikwaga humu
Now you’re talking maana mie nimeona na bid kazi sipewi hadi nikaona kama ngonjera tu mnazoletaga humu nikaachanaga nayo!Naelewa hilo, kwani kitu gani halali ni rahisi boss? Ni juhudi na Investment. Sema kuwa Translator wa Kiswahili kuna less competition kuliko area nyingi kwa sababu watu wanaojua kiswahili mule ni wachache ukilinganisha na vitu vingine. So chances za ku bump na opportunity ni kubwa zaidi.
Hakuna kitu rahisi halali!
Samahani Mkuu.. ongeza nyama kidogo hapa kwenye video editing100%
Mkuu, hakuna kitu chenye demand kubwa kama kuandika sasa hivi.
Yaani sasa hivi ukimaster uandishi na video editing, huwezi kulala njaa hata siku moja.
Contents hata mimi mwenyewe nanunua.
halafu inahitaji uwe na simu nzuri au laptop.Mimi sinaHio kitu sio rahisi kama inavyoandikwaga humu
Kwani kuna tatizo gani hapo? Kama kazi ipo we niite tuKazi yoyyote? Hata kusafisha banda la mbuzi katoliki?
nina experience kwenye technical support, system adminstrator, hardware and software installation and maintanance. Pia networkingIT pana sana, umesoma nn kwenye IT
Ninapokaa hadi magurumbasi ni 1400 kwenda na kurudi inakuwa 2800 kwahiyo narudi na 1200 hapo baada ya kubeba tiles za kutosha. Bado unanishauri?Mkuu ingia keko magurumbasi ..Chaka la Monalisa Good one good
Pale n kubeba tiles na sabuni za nice one
Hukosi kazi pale kwa siku 4000 na chakula Cha mchana unapata
Note: Anza kulala sakafuni ..coz ukitoka pale mgongo haufai
Mafunzo ya ulinzi ni sifa ya ziada halafu nashangaa mtu amesomea mambo ya IT wanaitajika Sana kwenye kampuni za ulinzi unakua ofisini tu na mshahara mzuri ningekua nimesome fani kama yako ningefurahiJe kama huna mafunzo ya ulinzi wanakubali.? [emoji848][emoji848][emoji848]
Kwa mtu anayetoka Magomeni anafikaje huko.? Na kama huna mafunzo ya ulinzi unapataje kazi.?Nafasi zipo garda hata Mimi nimetoka huko leo nafasi zipo
Video edting ni huduma ambayo watu wanahitaji sana kwaajili ya masoko.Samahani Mkuu.. ongeza nyama kidogo hapa kwenye video editing
Nenda garda mkuu au unachagua kazi?kazi zipo kama unataka kazi ya kujishikisha wakati unatafuta kazi uipendayo utashinda vp na njaa boss? Watu wa kada yako wanaitajika ofisini control roomDah... Hata kula tu mtihani
Video editing najua naomba connection100%
Mkuu, hakuna kitu chenye demand kubwa kama kuandika sasa hivi.
Yaani sasa hivi ukimaster uandishi na video editing, huwezi kulala njaa hata siku moja.
Contents hata mimi mwenyewe nanunua.
Connection sasa mzeeVideo edting ni huduma ambayo watu wanahitaji sana kwaajili ya masoko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu ingia keko magurumbasi ..Chaka la Monalisa Good one good
Pale n kubeba tiles na sabuni za nice one
Hukosi kazi pale kwa siku 4000 na chakula Cha mchana unapata
Note: Anza kulala sakafuni ..coz ukitoka pale mgongo haufai