mandwa
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 1,493
- 361
[emoji2960]Labda anataka kukupa kazi. Ha ha ha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2960]Labda anataka kukupa kazi. Ha ha ha
Sijafanya kwa kuwa sikuwa na muda. Translation inhitaji uwe na muda maana unakuta ni project haswa, unatafsiri li kitabu kikubwa.Mkuu umepata kazi ngapi za ku translate to kiswahili huko upwork/fiver/freelancer...?
Me nilikiwa nawaza nikipata muda ni jikite na mambo ya Database...!!
Hongera sana mkuu nafikiri mpaka kuamninika kupata hiyo kazi sio jambo rahisi?Kama ni ya kingereza napewa script (sifanyi kingereza huko hizi nazifanya na wajapan) hii ya netflix naifanyia kwenye online platform ya Deluxe Studios, unakuta ina subtitle za kingereza upande mmoja mimi naweka za kiswahili.
Kweli kabisaUkiwa na ajira unaweza ukaona kama haya mambo madogo aseeh
Yes Netflix wanaofanya subtitling ni studio, miaka mitatu nyuma walianzidha kitengo chao cha subtitling wakawa ndiyo wanaajili subtitlers ila wakagundua wanajipa kazi so kazi ya subtitling wamezipa studios kadhaa, ikiwemo Deluxe Studio. Kabla ya kuchaguliwa unapiga paper lao ambalo ni timed, halafu, baada ya hapo unaenda training yao online unafanya paper zao mbili ambazo lazima ufaulu mia kwa mia kila moja. Naongelea kwa Deluxe sijajua hizo studio nyingine sasa.Hongera sana mkuu nafikiri mpaka kuamninika kupata hiyo kazi sio jambo rahisi?
Vizuri kwa maelezo mkuu!! Ni vitu gani wanaangalia kwenye hizo test zao?Yes Netflix wanaofanya subtitling ni studio, miaka mitatu nyuma walianzidha kitengo chao cha subtitling wakawa ndiyo wanaajili subtitlers ila wakagundua wanajipa kazi so kazi ya subtitling wamezipa studios kadhaa, ikiwemo Deluxe Studio. Kabla ya kuchaguliwa unapiga paper lao ambalo ni timed, halafu, baada ya hapo unaenda training yao online unafanya paper zao mbili ambazo lazima ufaulu mia kwa mia kila moja. Naongelea kwa Deluxe sijajua hizo studio nyingine sasa.
Mkuu, test ya kwanza utapewa script mchanganyiko ya ovie kwa Kingerza uitafisiri na technical kwasababu ina matechnician wanaohusika kwenye movie production, na majina ya shots. Pia inapima uelewa wako wa lugha maana kuna maneno ya kingereza yanasema hivi ila yana maana nyingine ukiyatafsiri direct yanaleta maana tofauti na iliyokusudiwa.Vizuri kwa maelezo mkuu!! Ni vitu gani wanaangalia kwenye hizo test zao?
Sawa sawa mkuu! Baada ya kusubmit hizo subtitles, kuna mtu mwingine anazipitia kwanza ili kuzipitisha?Mkuu, test ya kwanza utapewa script mchanganyiko ya ovie kwa Kingerza uitafisiri na technical kwasababu ina matechnician wanaohusika kwenye movie production, na majina ya shots. Pia inapima uelewa wako wa lugha maana kuna maneno ya kingereza yanasema hivi ila yana maana nyingine ukiyatafsiri direct yanaleta maana tofauti na iliyokusudiwa.
Ukifaulu hiyo ndiyo sasa baadae watakuinvite kwenye platform yao ya sofara huko utakuta course zao tofauti ikiwemo subtitling for netflix. Utasoma utatazama tortorials utafanya mtihani hasa unahusu kanuni za kusubtitle for netflix na pia kutumia hiyo platform yao. Mtihani wa kwanza ukifail unaweza rudia mara tatu, ila mtihani wa pili inabidi upate 100 mara ya kwanza tu ukifail huwezi kurudia unahusiana na mambo ya copyright.
Subtitling ina kanuni na kila agency ina kanuni zake. Kuna ambao kwenye screen wanataka zisizidi character 43 na zisizidi mistari miwili. Ila netflix wana kanuni ngumu zaidi. Sema kwakuwa unakuwa watafsiri tu subtitle ambazo zishakuwa synched ni rahisi kwakuwa hizo kanuni hutozizingatia za sijui subtitle ikae sekunde ngapi kwa screen. Utakachozingatia ni characters na platform ina kuguide na kukuonyesha errors huwez submit ikakubali kama kuna errors.
1.3$ per minute run time. Yes wanahakiki kila kitu. Hawana tofauti na Huawei honor wanahakiki mpaka full stop. Hakuna kampuni ngumu ya kutafsiri UI zao kama Huawei honor. Yani hadi full stop, hadi space ikiongezeka au ikakosa ni kosaSawa sawa mkuu! Baada ya kusubmit hizo subtitles, kuna mtu mwingine anazipitia kwanza ili kuzipitisha?
Kwa ugumu wa kazi ulivyo na muda unaotumika , nafikiri watakuwa wanalipa vizuri?
Unatafsiri Huawei honor za global version kutoka Chinese to English? Au Hii pia inakuwa vipi.. ni jambo jipya kwangu kulifahamu1.3$ per minute run time. Yes wanahakiki kila kitu. Hawana tofauti na Huawei honor wanahakiki mpaka full stop. Hakuna kampuni ngumu ya kutafsiri UI zao kama Huawei honor. Yani hadi full stop, hadi space ikiongezeka au ikakosa ni kosa
Nb kwenye maji kuna KIBOKO NA MAMBA WAKUTOSHA!
No, English to Swahili mkuu. Kwa serious agencies achana na hawa wahindi. translator inabidi atafsiri from source language to native language not otherwise. Language is culture, na vigumu kujua culture kama wewe siyo native. Huawei, Uber, Yara wote hao ni from English to Swahili, kuanzia UI, firm alerts, email zao, sms. Na wana glossaries za maneno yao so unafanya kuyatumia ili kuwa na consistence. Recently nimefanya kazi nyingi za Uber, na UberConnect pia Yara na Huawei kiasi.Unatafsiri Huawei honor za global version kutoka Chinese to English? Au Hii pia inakuwa vipi.. ni jambo jipya kwangu kulifahamu
Hapo Garda Wana shift ya usiku?Mkuu, nakuthibitishia haya makampuni ya ulinzi leo watu wanadharau ila hii kazi itakuwa ni kimbilio la watu miaka 5 au 10 ijayo.
Mimi leo nina NSSF kama 2.5M kama ningetaka bima ningechukua, likizo ninapewa tena yenye malipo.
Yaani hata kujiajiri nina kianzio kabisa.
Zote zipo au unamaanisha usiku tupu ?Hapo Garda Wana shift ya usiku?
Ndyo mkuuZote zipo au unamaanisha usiku tupu ?
Usiku tupu watu wengi hawazipendi. Kwahiyo huwa zipo tu.Ndyo mkuu
Wadau wametoa info hapo peleka cv na certificate copy umeelekezwa na ofisi ilipo.Sawa, naomba tuwasiliane mkuu namba zangu 0629868082