Hali ni mbaya, kazi yoyote inahitajika

Hali ni mbaya, kazi yoyote inahitajika

Binafsi maisha yangu nayajua mimi mwenyewe, hakuna mtu yeyote anaeweza kucontrol maisha yangu.

Maisha ya wabongo wengi bado ni magumu. Nashangaa unakuta mtu anamcheka mwingine eti ni mlinzi wakati ukimwangalia yeye wewe una afadhali.

Mfano huko Garda wanapima urefu, kuna watu wanapimwa wanakutwa wafupi, wiki inayofuata wanaenda tena ( yaani mtu anahisi ameshakua )

Kuna vitu unaweza kuviona ni vya kawaida ila kuna watu wanatumia nguvu sana kuvitafuta, kuvipata au wanaishia kutokuvipata kabisa.
Hawana namba ya cm , unisaidie nimtumie mdogoangu awapigie coz ye ni mrefu na Yuko mkoan ,Yuko tayar kwenda mkoa wowote watakaompangia
 
Binafsi maisha yangu nayajua mimi mwenyewe, hakuna mtu yeyote anaeweza kucontrol maisha yangu.

Maisha ya wabongo wengi bado ni magumu. Nashangaa unakuta mtu anamcheka mwingine eti ni mlinzi wakati ukimwangalia yeye wewe una afadhali.

Mfano huko Garda wanapima urefu, kuna watu wanapimwa wanakutwa wafupi, wiki inayofuata wanaenda tena ( yaani mtu anahisi ameshakua )

Kuna vitu unaweza kuviona ni vya kawaida ila kuna watu wanatumia nguvu sana kuvitafuta, kuvipata au wanaishia kutokuvipata kabisa.
Urefu unaotakiwa ni cm au nchi ngapi?
Ni vitu gani vingine wanavyoangalia?
 
Back
Top Bottom