DOKEZO Hali ni mbaya sana kwa walemavu tuliosoma, Si Serikali wala kampuni binafsi ambazo ziko tayari kutuajiri. Tunabaguliwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sasa km hiyo ni comment angu, ndo nilisema mie ni Bonge la pisi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], au mie ndo sijui kusoma?
 
Lengo la elimu ni kuelimika, sio kuajiriwa
 

Kuna suala la nyongeza nimelifikiria.

Haki za walemavu ni haki za binadamu, bila kujali mlemavu amesoma au hajasoma.

Kwa mfano, haki za mlemavu kuwa na wheelchair accesssible ramps kwenye public spaces, kuwa na access ya lift kupanda maghorofani sehemu za umma, hata kuwa na sign language interpreters kwa walio na ulemavu wa kusikia, hizi ni haki za binadamu bila kujali mlemavu kasoma au hajasoma.

Unaweza kuijua jamii kama imestaarabika au haijastaarabika kwa jinsi inavyowatendea wakemavu.
 
Usiseme "watu walemavu" sema "watu wenye ulemavu".
 
Sitetei.. Ni changamoto kweli.
 
Aione waziri Gwajima, na wenzake kama Riziwan, na Simbachawene. Wao ndio wahusika wakuu.

Mawazo yangu, walemavu waliosoma wangepewa ajira moja kwa moja kutoka vyuoni, yani direct employment kuliko kusumbuka kuomba.

Kwani ni wangapi hadi serikali ishindwe kuwaajiri?
 
Siku zote mim husema mlemavu ni ale alale lkn nani wa kumlisha na kumpa makazi? Eti naye asome afanye kazi hii si sawa, kama kungekuwa na uadilifu jamii ya kwanza kupewa kipaumbele ni walemavu wakitoka chuo Moja kwa Moja kazini lkn nani anawathamini?
 
Watu wamekuwa wabinafsi ila nafasi zenu kisheria zipo kabisa...Hii hata bungeni ilitakiwa kuwe na asilimia kwa watu special .
Hii imebaki mdomoni tuu kiuhalisia hakuna utekelezaji, lakn Kuna umuhimu Walemavu wapewe ajira pindi tu wamalizapo vyuo!! Hii itahamasisha na wengine wanaotaman kusoma
 
Hakika mkuu!
 
Lengo la elimu ni kuelimika, sio kuajiriwa
Ni kweli usemacho .. lakn unaelimika katika engo ipi!

Pia nimegusia kweny upande wa ajira Zinazotolewa na serikali na watu binafsi ambazo zinaweza kusapot maisha ya mtu!! Hata kwa uchache
 
Allah yupo usihofu
 
Hasa ndo jambo la muhim hili! Kwasababu si wengi kweny jamii, angalau chuo unakuta wawili au watatu
 
Siku zote mim husema mlemavu ni ale alale lkn nani wa kumlisha na kumpa makazi? Eti naye asome afanye kazi hii si sawa, kama kungekuwa na uadilifu jamii ya kwanza kupewa kipaumbele ni walemavu wakitoka chuo Moja kwa Moja kazini lkn nani anawathamini?
JF pamoja na wadau

Hili jambo ni la kijamii.. hili kundi linazidi kukaa mtaani huku wakiwa na elimu zao.

Watakata tamaa walio nyuma yetu kusoma mwisho tupate jamii ya ajabu..

Tanzania inapiga hatua nyingi mbele .. sisi inatuacha nyuma sana!! Mwisho tunakuwa sio sehem ya Tanzania kimaendeleo
 
Nikikumbuka Jinsi tunavyo husle kusoma kwa bidii kwa kua tuna option chache sana, najihis mnyonge tuu
Pole sana mkuu.One day Yes.

Japo wachache wenu wanazingua.Kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi Mwanza kabla sijahamia Arusha nilienda ofsi flani nikakuta mtu mwenye ulemavu wa viungo aiseee nilijuta ana majibu ya hovyo yule usiombe kukutana nae.
 
Pole sana mkuu
 
Kabisa yaani Tena ilikuwa hata bila kusoma mlemavu yeyote awe na ruzuku kabisa na inawezekana lkn nani wakufanya Hilo? Watu wazima jua linawakia utosini walemavu Hali iko vipi? Ushaur: wapatiwe ruzuku ya kujikimu Kila mwezi Ili nao wafurahie maisha na Hilo linawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…