Hua wakati mwingi nawaza ni kwa namna gani ntaweza kusaidia hata na wengine!! Siamini bado falsafa ya "survival for fittest" naamin kweny creation ya fittest ili a surviveSuala la ajira ni janga la kitaifa, ingawa ulemavu unaongeza ugumu. Nakushauri angalia pia namna unaweza kujiajiri kutokana na hali yako. Kama ni mlemavu wa miguu unaweza kufanya shughuli za mikono mfano uandishi, utengenezaji viatu, mihamala ya simu(yas mix, mpesa n.k). Kupata fursa ni mapambano ya survival of the fittest, hakuna atakaekuonea huruma.
Ukifikia hatua hii hakuna namna kabisa!! Inabid uanze ziro kabisa!! Kiasi unajuta kupoteza muda darasanMungu akutangulie kaka yangu
Pengine ukijiajiri ww itakuwa vyema kama kuajiriwa unakataliwa
Siyo kwa viongozi hawa sana sana wataleta kiroba cha unga na debe mbili za maharage mbele ya camera ndio imetoka hiyo, kinyume cha hilo ni vimikopo visivyo na tija.Pole sana mkuu
Nadhani viongozi wataona hii taarifa walifanyie kazi
Pole sana Mungu awasaidie
Kwenye kutoa ajira watu hawaangalii huruma hiyo ni risk kubwa sana.Mtu kakuambia kasoma degree ya Usimamizi Wa Fedha. Ulemavu wa miguu unamzuia kutimiza majukumu yake? Mna mpango wa kumpa ofisi ya ghorofani kwaajili ya kumkomoa?
Ujue Mwafrika anaamini sana kwenye manguvu karibia kila sehemu. Wakati dunia inawabeba kila mwenye potential ili mradi kichwa kinafanya kazi kama kina Steve Hawking. Huku kuna Mwafrika, huanzi shule hadi mkono ushike sikio la upande wa pili, kuvunja matofali kwa kichwa, uwe na futi tano sijui ngapi upate kazi..
Yaani manguvu manguvu.
Wewe kwa nini usimsaidie?.Siyo kwa viongozi hawa sana sana wataleta kiroba cha unga na debe mbili za maharage mbele ya camera ndio imetoka hiyo, kinyume cha hilo ni vimikopo visivyo na tija.
Mkuu, angalau mabenk wanajari, nina rafiki zangu walemavu wa viungo wameajiriwa NMB, CRDB japo sijaona kiziwi hata hivyo hawa wamejazana kule kwenye ajira za ualimu.Niende kwenye mada moja kwa moja!!.
Nimekuwa moja ya wahanga wa hili Tatizo kwa muda mrefu sana
Kati ya watu wanaosoma kwa mateso makubwa sana ni watu wenye ulemavu, kuanzia shule za msingi mpaka sekondari, hii inatokana na miundo mbinu mingi kuwa tofauti na Hali zetu watu wenye ulemavu.
Wakati mtu mwenye ulemavu anapambna akiamini kuwa yeye hawez kulima, kutembeza mitumba, Wala kufanya kazi ngumu za ujenzi akitegemea akili yake tu ya darasani angalau impe mwanga wa maisha.
Baada ya ajira huyu mtu mwenye ulemavu anaanza kuzunguka na baiskeli yake au magongo yake kweny interview mbalimbali, wakati mwingine hufanyika mikoani, au kwenye majengo yasiyo na lift.
Wengi wanaishia kukata tamaa sana.
Kuna sehemu niliwahi kataliwa kabisa kisa mimi ni mlemavu kwamba siwezi kufanya hio kazi kwasababu nitakuwa naenda sana hospitali, yaani trip kazini trip hospitali. Wanahisi labda sisi ni wagonjwa fulani hivi,
Inaumiza sana sana, naongea kwa niaba Yao sana.
Wengi walioajiriwa ni sababu za kisiasa, ili ionekane hawabaguliwi hasa kwenye sekta zinazohusiana na walemavu ndio huko wamejazwa!
Nina watu nawajua ni walemavu, wanapitia kipindi kigumu sana lakini wakiwa na elimu Yao kichwani! Yaani huu unyanyapaa huwezi ona kwa jicho la kawaida! Ni dhamira za watu.
Kitanda usicholalia huwezi jua kunguni wake!! We feel pain sana sana
Natimiza mwaka wa saba(7) tangu nimalize digrii yangu ya usimamizi wa fedha..
Serikali haitujali tena, zaidi ya kutulazimisha tukope pesa tuu.
Wadau wapo kimaslahi na kisiasa zaidi wapate attention wakati wanatoa misaada.
Hata vyama vya walemavu sasa hawana la kusema baada ya kulamba sukari
Sisi tukimbilie wapi zaidi yenu wadau wa hapa JF, tusaidieni kupaza sauti sisi walemavu tuliopambana kusoma kwa bidii, tunatamani kubeba tofali angalau tupate mkate wa kila siku lakini Hali zetu hazituruhusu.
Tuliamini katika elimu nayo imetusaliti, nchi imetutenga, tuna hari mbaya sana
Tatizo lilianzia kwa wazazi. Ilibidi wajue mbele kunani hivyo wawape elimu ya ujasiriamaliNiende kwenye mada moja kwa moja!!.

Historia ni ndefu San!! Lakn kwasisi wakt mwingne badhi ya wazaz hasa baba... Wanakuwa Kama hawatuamini Kama tutakuja saidia familia kwahio! Sikuwahi kuwa karibu na mzeeTatizo lilianzia kwa wazazi. Ilibidi wajue mbele kunani hivyo wawape elimu ya ujasiriamali
Hii jamii ya walemavu ni wachache sana!! Hakukuwa na haja ya kuwapa competition kubwa kweny kutafuta ajira!!! Ingefaa wakitoka chuo wapewe nafasi serikaliniMkuu, angalau mabenk wanajari, nina rafiki zangu walemavu wa viungo wameajiriwa NMB, CRDB japo sijaona kiziwi hata hivyo hawa wamejazana kule kwenye ajira za ualimu.
Kingine ningeshauri pia muangalie mazingira na kazi za kuomba kuendana na hali zenu haya mambo ya usawa na huruma wakati mwingine hayafanyi kazi kila sehemu.
Umejuaje kaka!! Yaani mi ni shuhuda wa Hilo!! Japo hata hicho kidog huwa tunashukuruSiyo kwa viongozi hawa sana sana wataleta kiroba cha unga na debe mbili za maharage mbele ya camera ndio imetoka hiyo, kinyume cha hilo ni vimikopo visivyo na tija.
Nimeumia sana hii sentence.pole sana na usikate tamaatunatamani kubeba tofali angalau tupate mkate wa kila siku lakini Hali zetu hazituruhusu.
Sasa hata walemavu pia mnasalitiana kwa kulambishwa sukari Basi hàkuna haja ya kulaumu wasio walemavu kuwabagua, acheni kwanza kubaguana ninyi kwa ninyi ndo muanze kuwalaumu wasio walemavu.Huko tayari tumepita hakuna mweny jibu!! Wanaishia kuitwa kweny semina ili wapate posho za semina
Ila watu bwanaPole sana..
Lakini je hata ungekuwa wewe ,ungeweza kumuacha mtu ambaye si mlemavu ukaajiri mlemavu?
Hakuna watu wakorofi kazini kama walemavu.Niende kwenye mada moja kwa moja!!.
Nimekuwa moja ya wahanga wa hili Tatizo kwa muda mrefu sana
Kati ya watu wanaosoma kwa mateso makubwa sana ni watu wenye ulemavu, kuanzia shule za msingi mpaka sekondari, hii inatokana na miundo mbinu mingi kuwa tofauti na Hali zetu watu wenye ulemavu.
Wakati mtu mwenye ulemavu anapambna akiamini kuwa yeye hawez kulima, kutembeza mitumba, Wala kufanya kazi ngumu za ujenzi akitegemea akili yake tu ya darasani angalau impe mwanga wa maisha.
Baada ya ajira huyu mtu mwenye ulemavu anaanza kuzunguka na baiskeli yake au magongo yake kweny interview mbalimbali, wakati mwingine hufanyika mikoani, au kwenye majengo yasiyo na lift.
Wengi wanaishia kukata tamaa sana.
Kuna sehemu niliwahi kataliwa kabisa kisa mimi ni mlemavu kwamba siwezi kufanya hio kazi kwasababu nitakuwa naenda sana hospitali, yaani trip kazini trip hospitali. Wanahisi labda sisi ni wagonjwa fulani hivi,
Inaumiza sana sana, naongea kwa niaba Yao sana.
Wengi walioajiriwa ni sababu za kisiasa, ili ionekane hawabaguliwi hasa kwenye sekta zinazohusiana na walemavu ndio huko wamejazwa!
Nina watu nawajua ni walemavu, wanapitia kipindi kigumu sana lakini wakiwa na elimu Yao kichwani! Yaani huu unyanyapaa huwezi ona kwa jicho la kawaida! Ni dhamira za watu.
Kitanda usicholalia huwezi jua kunguni wake!! We feel pain sana sana
Natimiza mwaka wa saba(7) tangu nimalize digrii yangu ya usimamizi wa fedha..
Serikali haitujali tena, zaidi ya kutulazimisha tukope pesa tuu.
Wadau wapo kimaslahi na kisiasa zaidi wapate attention wakati wanatoa misaada.
Hata vyama vya walemavu sasa hawana la kusema baada ya kulamba sukari
Sisi tukimbilie wapi zaidi yenu wadau wa hapa JF, tusaidieni kupaza sauti sisi walemavu tuliopambana kusoma kwa bidii, tunatamani kubeba tofali angalau tupate mkate wa kila siku lakini Hali zetu hazituruhusu.
Tuliamini katika elimu nayo imetusaliti, nchi imetutenga, tuna hari mbaya sana
Mkuu, kwani huko makazini wanakwenda kupigana mieleka?Pole sana..
Lakini je hata ungekuwa wewe ,ungeweza kumuacha mtu ambaye si mlemavu ukaajiri mlemavu?
Sidhani kama ni wote ....maybe inferiorityHakuna watu wakorofi kazini kama walemavu.
Nimekoma.
Tatizo liko wapi kama anaweza kuifanya kazi aliyoajiriwa, mimi nigeajiri bila matatizo na sio swala la huruma ni qualificationsPole sana..