Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Si kwamba hawazijui ila wana view fulan kuwa walemavu watashusha productivity. Is why wanaona kama watawachelewesha and hawapendi kabisaWalemavu wanakanuni zao kuwafavour upande wa mambo ya ajira. Mfano kila ajira ya serikali 3% ni nafasi za walemavu, pia kwenye written intervirew mlemavu akifikisha 50% aijilishi cutting point ni ngapi huyo ataenda atua inayofuatia.
Ajabu kuna baadhi ya taasisi za serikali hizo kanuni wao ni kama hawazijui kabisa. Walau ajira portal na wale Tamisemi zamani wanajitahidi sana.
Mfano mzuri kuna izi ajira za mwisho za TRA, sikuaona kabisa suala la 3% kwenye izo ajira zao. Pia kuna walemavu nawafahamu walifikisha 50% kwenye written ila hawakwenda oral kisa hawakufikisha cutting point, na hata walipopeleka malalamiko hawakutoboa.
Sasa kama serikali yenyewe inatufanyia ivyo unategemea nini huko private ?.
Serikal ifanye kitu. Japo si taasis zote walemavu wanaweza kufanya kazi