DOKEZO Hali ni mbaya sana kwa walemavu tuliosoma, Si Serikali wala kampuni binafsi ambazo ziko tayari kutuajiri. Tunabaguliwa

DOKEZO Hali ni mbaya sana kwa walemavu tuliosoma, Si Serikali wala kampuni binafsi ambazo ziko tayari kutuajiri. Tunabaguliwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Walemavu wanakanuni zao kuwafavour upande wa mambo ya ajira. Mfano kila ajira ya serikali 3% ni nafasi za walemavu, pia kwenye written intervirew mlemavu akifikisha 50% aijilishi cutting point ni ngapi huyo ataenda atua inayofuatia.

Ajabu kuna baadhi ya taasisi za serikali hizo kanuni wao ni kama hawazijui kabisa. Walau ajira portal na wale Tamisemi zamani wanajitahidi sana.

Mfano mzuri kuna izi ajira za mwisho za TRA, sikuaona kabisa suala la 3% kwenye izo ajira zao. Pia kuna walemavu nawafahamu walifikisha 50% kwenye written ila hawakwenda oral kisa hawakufikisha cutting point, na hata walipopeleka malalamiko hawakutoboa.

Sasa kama serikali yenyewe inatufanyia ivyo unategemea nini huko private ?.
Si kwamba hawazijui ila wana view fulan kuwa walemavu watashusha productivity. Is why wanaona kama watawachelewesha and hawapendi kabisa

Serikal ifanye kitu. Japo si taasis zote walemavu wanaweza kufanya kazi
 
Nimepngelea uzoefu nilionao kwao.

Kweli ni watu wanl kawaidà lakini ni wakorofi sana kazini. Nibwao wenyewe wanaohis8 inatakiwa wawe treated kama sio watu wa kawaida.

Mwana complex za ajabu. Ukiwa treat kama mtu mwengine yeyote kosa, ukiwa treat kama walemavu kosa.
Nashukuru kwa maoni yako nafikiri binadamu hatukosi udhaifu!! Hayo anayo kila mtu! Muhimu tuvumiliane tuvuke pamoja
 
Aise ntashukuru sana kwahilo, mods watatusaidia kwa Hilo. Maana mi nawakilisha wengi weny Maumivu haya
Itasadia Kwa watanzania wengi kusoma kwasababu jamiiforum ina page tofauti kama Instagram, Facebook, twitter na nyingine
 
Itasadia Kwa watanzania wengi kusoma kwasababu jamiiforum ina page tofauti kama Instagram, Facebook, twitter na nyingine
Nataman sauti isikike kote Tanzania, tulikaa kimya tukajua nikitu Cha kawaida ni mpaka tulipoona sasa kumbe tuko wengi. Na karibia wote bado hatuja ajiriwa
 
Si kwamba hawazijui ila wana view fulan kuwa walemavu watashusha productivity. Is why wanaona kama watawachelewesha and hawapendi kabisa

Serikal ifanye kitu. Japo si taasis zote walemavu wanaweza kufanya kazi
Ni kweli, hata ile Sheria ya 3% hakuna anayeisimamia wote wapo kimyaaa
 
Hata Mimi nilikua nawaza Kama wew!! Lakn mpaka nimekutana na hio issue ya kubaguliwa.. boss akiwa anasema kabisa kwamba nawezaje kukuajiri halafu baada ya siku mbili uende Hosp... Na sio kwangu tuu tayari nimepokea kesi kwa jamaa zangu kadhaa.
Kwani ulemavu ni ugonjwa?
 
Mtu akiona upo kweny wheelchair, au unachechemea anajua maybe unaumwa.
Duu pole sana awareness inabidi ijengwe ila Kuna kazi kweli zinahitaji mtu awe shap

Kwaiyo unapoomba kazi inabidi uangalie na nature ya kazi
 
Mtu anaweza kusema kuwa bongo hakuna serikali na akawa sahihi. Huwezi kukuta hata rais anaongelea suala hilo. Hata waziri wa kazi na ajira. Ndio maana wenye watoto walemavu wengi hawaoni umuhimu wa kusomesha watoto wao.
 
Duu pole sana awareness inabidi ijengwe ila Kuna kazi kweli zinahitaji mtu awe shap

Kwaiyo unapoomba kazi inabidi uangalie na nature ya kazi
Hata mtu anaposomea anaangalia kazi ambayo anaimudu kulingana na madhaifu yake!!. . Kwahio wote wanao apply kazi maana ake wanaijua kazi Yao na wameisomea
 
Mtu anaweza kusema kuwa bongo hakuna serikali na akawa sahihi. Huwezi kukuta hata rais anaongelea suala hilo. Hata waziri wa kazi na ajira. Ndio maana wenye watoto walemavu wengi hawaoni umuhimu wa kusomesha watoto wao.
Tunataman hata wakati mwingne tumfikie rais japo aoene umuhimu wa kuweka sera nzuri kwaajili ya watu wenye ulemavu wanapo maliza vyuo vikuu na vya kati. Lakn kumfikia mheshimiwa imekua Tatizo kubwa...
Ni maamuzi tuu ya kuweka sera maamuzi ambayo hayana hasara yoyote kwa taifa
 
Kwan yule mbunge wenu na wizara yenu kaz yake ni ipi
Unataka mm mwanach nikuonee huruma wakat mda wa kula utawapigia sisim

Shida zako mpelekee muwakilishi wenu sjui ndo keisha na yule waziri wake
 
Kwan yule mbunge wenu na wizara yenu kaz yake ni ipi
Unataka mm mwanach nikuonee huruma wakat mda wa kula utawapigia sisim

Shida zako mpelekee muwakilishi wenu sjui ndo keisha na yule waziri wake
Yule ni viti maalumu kiongozi, anapigiwa kula huko huko csim,... Lakin ukiona sasa jambo tumeamua kuionyesha jamii ujue Hali ni mbaya!!..
 
Back
Top Bottom