Uchaguzi 2020 Hali ni mbaya, sitisheni Kampeni mkajipange Upya

"WENZANGU WOTE WALIOFUATA BAADA YA MWL. NYERERE MLIWAPA MIAKA 10. KWA NINI MIMI MNATAKA KUNIPA MIAKA 5 TU?. WANAOSEMA WATANIONGEZEA NA MIMI MIAKA MINGINE 5 WASEME NDIYOOOOOO! WANAOKATAA WASEME SIYOO! WALIOSEMA NDIYO WAMESHINDA. ASANTENI SANA, MNIONGEZEE 5 JAMANI. KWANI NIMEWAKOSEA NINI?" (MAGU, 07/09/2020)
 
Kuna mmoja Diwani jana kule bunda alisema Rais aliahidi maji lakini ni miaka 3 sasa hakuna utekelezaji wowote. Nilijua pale pale Magufuli atamzabua kibao. Lakini ndio ilikuwa ukweli.
 
Hadi aombe msamaha kwa maovu w
Hadi aombe msamaha kwa maovu waliyofanyiwa Watanzania katika kipindi chake huku akikosa hata kukemea tu,watu hawajawajibishwa kwa matukio ya kigaidi kama utekaji,mauaji,kupotea na kushambuliwa ndani ya Government Premises.Miaka mitatu hakuna upelelezi wa kueleweka na maisha yanaendelea.Kama utawala wa sheria ungekuwa unazingatiwa serikali ingejiuzulu,ni kukosa uwajibikaji wa kiwango cha juu sana na hauvumiliki ila hapa nyumbani inaonekana kawaida.Aibu!
 
Yaan hawa ccm hawana lolotr. Ni mwendo wa kujitekenya na kucheka wenyewe
Kama CCM wanajitekenya na kucheka wenyewe nyie hapa mtakuwa mnafanyia nini? kwani kampeni za CCM zinawahusu nini nyie kweli?
 
Hii ni mwz watoto wamebebwa na mabasi kuja kumuona chibu sio kampeni
 
Ccm bila polisi na NEC ni sawa na tlp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…