Uchaguzi 2020 Hali ni mbaya, sitisheni Kampeni mkajipange Upya

Joined
Feb 18, 2019
Posts
53
Reaction score
539
Mwenye macho haambiwi tazama. Hali si shwari. Hali ni mbaya. Kampeni haziendi. Na wakizifosi ziendelee basi itabidi wavunje bank maana recurring costs zimekuwa kubwa kuliko ilivyotegemewa.

Wajumbe hawakuwa wapumbavu kuwakata vichwa hao mlowachagulia. Mkadhani labda watamwogopa Mwenyekiti lakini ndio kwanza wanamchomolea betri waziwazi. Na akiwafosi sana wanaenda kumkata hata Mwenyekiti mwenyewe.

Mama Maria nahisi kashukiwa na mume wake Mwl. Nyerere aje awaambie kwamba muache kufosi watu waje kuongeza idadi kwenye mikutano yenu. Mama Maria anaumwa hana muda na kampeni kajuaje mnasafirisha watu kuja kujaza viwanja, ni wazi atakuwa katumwa na malaika wa bwana kuja kuwagutua toka usingizini.

Mwanza leo mmesitisha masomo ili tuu muonekane mmejaza uwanja. Huku na kule Warioba naye kawapiga chembe kidevu. CCM amkeniiiii.

Ni muda muafaka wa kusitisha kampeni zenu mkajipange upyaa. Tena mtafute mzungumzaji kwa niaba ya mgombea wenu sababu ndipo penye ufa mkubwaaa.

Wakati ni ukuta huwezi kupambana nao.
 
Ujinga mwingine bhana, yaani unadiriki hata kuidanganya Akili yako mwenyewe!

Mwaka huu, tungekuwa na wapinzani wenye kujielewa, wenye uchungu na pesa za walipa Kodi, wangestisha Kampeni wakamuunga mkono mgombea wa CCM

Kwa kuwa tunawagombea vwasiojielewa upinzani, kazaneni, labda mtaambulia Kura 500,000/ Kwa ujumla wenu
 
Bwaahaaa bwaahaaa nimecheka kwa nguvu vibaya sana. Mgombea wa ccm amekata pumzi hana ushawishi, anatishia wapiga kura badala ya kushawishi wapiga kura, na kuongea kisukuma. Kwanini yeye mwenye uchungu na nchi asijitoe ili mgombea wa urais upinzani apite? Hii ni sawa na kusema mbao Fc wajitoe ili waiunge mkono Simba, maana wao hawawezi kuchukua kombe. Kwenye kampeni hizi huyo mgombea wenu anaishia kuanika frustration zake tu. Huyo analazimisha siasa, lakini siasa hazimtaki ndio maana mnataka aachiwe goli wazi.
 
Mwenye macho haambiwi tazama. Hali si shwari. Hali ni mbaya. Kampeni haziendi. Na wakizifosi ziendelee basi itabidi wavunje bank maana recurring costs zimekuwa kubwa kuliko ilivyotegemewa.

Wajumbe hawakuwa wapumbavu kuwakata vichwa hao mlowachagulia. Mkadhani labda watamwogopa Mwenyekiti lakini ndio kwanza wanamchomolea betri waziwazi. Na akiwafosi sana wanaenda kumkata hata Mwenyekiti mwenyewe.

Mama Maria nahisi kashukiwa na mume wake Mwl. Nyerere aje awaambie kwamba muache kufosi watu waje kuongeza idadi kwenye mikutano yenu. Mama Maria anaumwa hana muda na kampeni kajuaje mnasafirisha watu kuja kujaza viwanja, ni wazi atakuwa katumwa na malaika wa bwana kuja kuwagutua toka usingizini.

Mwanza leo mmesitisha masomo ili tuu muonekane mmejaza uwanja. Huku na kule Warioba naye kawapiga chembe kidevu. CCM amkeniiiii.

Ni muda muafaka wa kusitisha kampeni zenu mkajipange upyaa. Tena mtafute mzungumzaji kwa niaba ya mgombea wenu sababu ndipo penye ufa mkubwaaa.

Wakati ni ukuta huwezi kupambana nao.
Hahaha CCM this time around wamekutana na game changer wamepagawa...hawakuamini hii kitu
 
Sasa wewe Bia yetu, si bora hata ya hao wapambanaji, kuliko Mwenyekiti wako anayetembelea nyota ya wasanii uchwara wa bongo fleva na bongo muvi!! Bila shaka anatambua fika hana mvuto, hakubaliki na hana jipya la kuwaambia Watanzania.

Eti anakubali kabisa kupigishwa magoti jukwaani na Sholo Mwamba kumuombea Mkapa!! Kazi kweli kweli. Yale magoti si bora hata angeyapiga kwa lengo la kuwaomba msamaha Watanzania alio waahidi milioni 50 kwenye kila Kijiji!! Labda wangemsamehe.
 
Mwenye macho haambiwi tazama. Hali si shwari. Hali ni mbaya. Kampeni haziendi. Na wakizifosi ziendelee basi itabidi wavunje bank maana recurring costs zimekuwa kubwa kuliko ilivyotegemewa.

Wajumbe hawakuwa wapumbavu kuwakata vichwa hao mlowachagulia. Mkadhani labda watamwogopa Mwenyekiti lakini ndio kwanza wanamchomolea betri waziwazi. Na akiwafosi sana wanaenda kumkata hata Mwenyekiti mwenyewe.

Mama Maria nahisi kashukiwa na mume wake Mwl. Nyerere aje awaambie kwamba muache kufosi watu waje kuongeza idadi kwenye mikutano yenu. Mama Maria anaumwa hana muda na kampeni kajuaje mnasafirisha watu kuja kujaza viwanja, ni wazi atakuwa katumwa na malaika wa bwana kuja kuwagutua toka usingizini.

Mwanza leo mmesitisha masomo ili tuu muonekane mmejaza uwanja. Huku na kule Warioba naye kawapiga chembe kidevu. CCM amkeniiiii.

Ni muda muafaka wa kusitisha kampeni zenu mkajipange upyaa. Tena mtafute mzungumzaji kwa niaba ya mgombea wenu sababu ndipo penye ufa mkubwaaa.

Wakati ni ukuta huwezi kupambana nao.
Tuliaaa Dawa ikuingieee wewe Unaijua Halo mbaya wewe yaani unataka kuniambia BABA LAO mwenye nchi take anaweza kosa hela ya Mafuta ya Garii Mzeee anachanja Buga na anaeleweka Leo Mwanza Ndio Tumehitimisha Kampeni tunachofanya sasa in kusalimia wananchi na kusubiri kuapishwa
 
Inafikirisha
8b8772af65a848b2211cc750a1e7211b.jpg
 
Back
Top Bottom