Hali ni tete Mtwara Leo, Sakata la Gesi

Hali ni tete Mtwara Leo, Sakata la Gesi

Wakuuu mabomu yameanza mtwara.........hata kwa bomba la peni hakuna gesi kutoka
[h=5]Jamani wasingesema gesi inatoka maana hali yetu ni kufa na kupona,watotot wamefungiwa mashuleni walimu wamekimbia,yaani mtwara leo hapakaliki[/h]
 
Hahahahaha ndo kazi iliyobakia kwa hawa polisi wetu,ila nadhani kuwalaumu pia sio sawa kwani waliapa kuilinda katiba ya tanzania na pia kutii amri za wakuu,so wako sawa kabisa nadhani sio sahihii kabisa kuwalaumu hawa watu

Na kuuza bangi!
 
hizo picha mbona zinaonyesha wahuni tu wa vijiweni?
 
Kuna kilaza mmoja katupia uzi hapa eti kuna nderemo Mtwara na mikoa ya jirani!
 
wakuu mwenye kujua mjini MTWARA,LINDI kuna km ngapi za lami??
cc THE BIG SHOW
 
Mngekuwa mnaweka na picha haraka sio tu kupost haraka haraka.,ngoja kwanza tusikilize hotuba ya jembe Mnyika,tulinganishe na ya Muhongo.
 
By MAKOSHNELI 11:20 Today

Wakuu,
leo ntwara tangu asubuhi kila
huduma imefungwa watu wapo
kimakundi makundi wanasikiliza
bunge hasa bajeti ya wizara ya
nishati na madini,ni magari ya ffu
tu ndio yapo barabarani nayo
hupata wakati mgumu kupita
kwasababu ya mawe na magogo
yaliyowekwa na vijana,baadhi ya
watu kadhaa wamechukuliwa na
askari eti kwakuwa walipita jirani
na gari yao,askari wengi waliokuja
si wa hapa ntwara wengi wametoka
Masasi na Lindi.

Kauli mbiu ya huku kwa sasa -
"gesi haitoki hata kwa bomba la
peni"
 
Kyela mwaka 2010 tuliingia barabarani kushangilia ujio wa meli mpya tena mm mwenyewe nikiongoza kuimba nyimbo za kumsif JK LKN hadi leo HATUJAIONA hiyo meli mpya!

CCM ni wasanii tu
 
Uzushi tu huu hamna kitu, wana mtwara kila kona leo ni furaha baada ya hotuba ya waziri iliyojaa neema kwa mikoa ya kusini
 
Kyela mwaka 2010 tuliingia barabarani kushangilia ujio wa meli mpya tena mm mwenyewe nikiongoza kuimba nyimbo za kumsif JK LKN hadi leo HATUJAIONA hiyo meli mpya!

CCM ni wasanii tu

Wanajua nyie ni mabwege ndo maana
 
Huko tunakoelekea wizara ya mambo ndani itakuwa inatenga 90% ya bajeti yake kwa ajili ya kununulia mabomu ya machozi maana wanayatumia kwelikweli
 
"'Gesi Haitoki hata kwa Bomba la Pen""

Tuko pamoja wana mtwara na wanakusini kwa ujumla, na hiyo kauli mbiu idumu.

Mkomae wana ntwara, mchicheme wala mchimung'unye mpaka kieleweke. Msije mkafanywa masikini na ombaomba kama ndugu zangu wamasai. Maeneo ya kwao yalikuwa na utajiri wote wa wao kuweza kufaidi rasilimali zao lakini wameondolewa na bomba la pen na wamebakia kusuka nywele mtaani. Inaumiza sana sana!!:kev::kev:
 
Jk na serikali yake wanadhani watatumia polisi siku zote..ipo siku itafika..gadafi hakufikiri kama kuna siku ataingizwa mitiji matakoni na kufa kifo cha fedheha kama vile...angalizo Mods sijatukana hapa nimenukuu tu maana nina damu ya kunguni humu jf bani zinaniandama na
 
Back
Top Bottom