Wakuu,
leo ntwara tangu asubuhi kila huduma imefungwa watu wapo kimakundi
makundi wanasikiliza bunge hasa bajeti ya wizara ya nishati na madini,ni
magari ya ffu tu ndio yapo barabarani nayo hupata wakati mgumu kupita
kwasababu ya mawe na magogo yaliyowekwa na vijana,baadhi ya watu kadhaa
wamechukuliwa na askari eti kwakuwa walipita jirani na gari yao,askari
wengi waliokuja si wa hapa ntwara wengi wametoka Masasi na Lindi.
Kauli mbiu ya huku kwa sasa - "gesi haitoki hata kwa bomba la peni"
=======
[FONT=arial
black]
[/FONT]