Hali ni tete Mtwara Leo, Sakata la Gesi

Hali ni tete Mtwara Leo, Sakata la Gesi

we naona kazi yako ni kuleta katuni tu. inabidi uende jukwaa la vichekesho
Wewe akili yako sawa na Nape...kwako vikatuni ni vichekesho? What a waste!!!

Masoud+Kipanya+watu+wangu+wanapata+shida+sana.jpg

0c45ca17d6L.jpg
 
poleni wanamtwara mkifanikiwa kukaza basi tanzania tutakuwa tumeanza kujielewa maana nafahamu wabongo kwa unafiki ni hatari..

mapigano mema wanantwara..
 
Kila kitu kinamwanzo na mwisho wake, sasa wanamtwara huu ni wakati wa kusubiri maendeleo yako njiani kwa mikoa ya mtwara na lindi.

umechelewa sana kuajiliwa lumumba kiasi kwamba hata mafunzo ya kubwabwaja kama wenzio huwezi
 
Si bure, kuna jambo nyuma yaa vijana hawa. kwani si kawaida. Kama vile wanigiza uarabuni wafanyavyo. Hawaogopi polisi kabisa, wanashindana nao. jamani kazazi hiki, ni hatari. Jamii ijitathmini upya. Nina imani kuna nguvu ya ziada vijana hawa wanajivunia
 
mh na sie wa mwadui buliankulu na arusha wazeee wa tanzanite tuanze sasa kieleweke
 
Kama ni kweli wamekata matangazo ya radio na TV basi hii ni Mugabe Style.

Wameishiwa mbinu sasa wapo tayari kuzika watu wakiwa wazima.
kuweni makini ndugu wa Mtwara.
Hongera kwa uwezo mdogo wa kufikiri wewe unadhani hayo unayodhani wewe yanawezekana.
 
Wamtwara tegemeeni mengi kwani Serikali itauza vitalu kwa mara ya NNE bila SERA wala SHERIA ya gesi itakayoweka bayana haki zenu. Sera aliyosema waziri imekamilika ni mbovu haielezi upstream operations zitashughulikiwaje. Hata maeneo wanayosema wananchi watahusishwa na kufaidi haiwelezi vipi?

Komaeni msidanganyike!
 
alafu wote wanaoonekana hapa ni kundi fulani ambalo kesho wakipewa kazi na wawekezaji ya buku tatu kwa siku hakuna kelele tena hapa.
 
Back
Top Bottom