Ndallo
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 7,619
- 4,299
Yes pamoja na Zanzibar to the East, Arusha to the North na Mbeya to west, together they constitute the four cardinal points of the compass that will set us free. Let freedom ring!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes pamoja na Zanzibar to the East, Arusha to the North na Mbeya to west, together they constitute the four cardinal points of the compass that will set us free. Let freedom ring!
Viva NTWARA tuko pamoja liwalo na liwe
GES KWANZA UHAI BAADAE
wekeni hiyo hotuba tuione, wengine majukumu yalituzidi.hivi mabomu yanakabiliwa kwa kupiga push up?
Usisahau Mwanza to the lake zones!Yes pamoja na Zanzibar to the East, Arusha to the North na Mbeya to west, together they constitute the four cardinal points of the compass that will set us free. Let freedom ring!
Jamani bomba Hili ni kwa manufaa ya Taifa. .wabunge na maofisa ws juu CCM na Chadema pamoja na vyama vyote vya siasa waelimishe Wananchi.
mkuu, kuna watu wanadhani kuwa vurugu ndiyo mtaji wao wa kisiasa
Wewe ndo upo pekeyako mwenye nia mbaya kwa watanzania.maskini leo upo peke yako shifti unabwabwaja tu lama mlevi wa lomoni
Waziri amewasilisha hotuba ya kihistoria leo
hivi mabomu yanakabiliwa kwa kupiga push up?
Wakuu,
leo ntwara tangu asubuhi kila huduma imefungwa watu wapo kimakundi makundi wanasikiliza bunge hasa bajeti ya wizara ya nishati na madini,ni magari ya ffu tu ndio yapo barabarani nayo hupata wakati mgumu kupita kwasababu ya mawe na magogo yaliyowekwa na vijana,baadhi ya watu kadhaa wamechukuliwa na askari eti kwakuwa walipita jirani na gari yao,askari wengi waliokuja si wa hapa ntwara wengi wametoka Masasi na Lindi.
Kauli mbiu ya huku kwa sasa - "gesi haitoki hata kwa bomba la peni"
![]()
=======
![]()
MORE UPDATES
MATAIRI KILA KONA YA MJI YAMECHOMWA BARABARANI POLISI NA ZIMA MOTO NDIO WANAKAZI YA KUZIMA NA KUFUKUZA RAIA
TAYARI NYUMBA KADHAA ZA WATUMISHI WA SERIKARI ZIMETIWA KIBERITI MAENEO YA SHANGANIView attachment 94735
maskini kijana naona inabweka tu apa hujui unatetea nini zaidi ya malipo per day 7000
"Gesi haitoki hata kwa bomba la peni"
mh hili nalo neno!!
Nimepata taarifa kuwa kuna vurugu zimeanza Mtwara na mabomu ya machozi yameanza kupigwa.
Mwenyee taarifa zaidi atujuze.