Hali ni tete Mtwara Leo, Sakata la Gesi

Hali ni tete Mtwara Leo, Sakata la Gesi

Yes pamoja na Zanzibar to the East, Arusha to the North na Mbeya to west, together they constitute the four cardinal points of the compass that will set us free. Let freedom ring!


champagne.gif
 
Mitambo zaidi kujengwa Mtwara inayohusu gesi na mafuta.
 
Yes pamoja na Zanzibar to the East, Arusha to the North na Mbeya to west, together they constitute the four cardinal points of the compass that will set us free. Let freedom ring!
Usisahau Mwanza to the lake zones!
 
Hakuna kuogopa ntu hapa, ukilala nchale,ukisimama nchale na ukikaa nchale.Cha msingi usisafirishe gesi yetu wana Ntwara!
 
Jamani bomba Hili ni kwa manufaa ya Taifa. .wabunge na maofisa ws juu CCM na Chadema pamoja na vyama vyote vya siasa waelimishe Wananchi.

tatizo huu mradi inasemekana mafisadi 50% yao.

Hivyo kuwaelimisha wanamtwara ni sawa kuhalisha ufasadi, acha serikali iendelee kutumia ubabe bila kujua hata bokho haramu walianzaga hivihivi
 
Mtwara wote wataajiriwa wenye sifa za kuajirika.
 
Nimepata taarifa kuwa kuna vurugu zimeanza Mtwara na mabomu ya machozi yameanza kupigwa.

Mwenyee taarifa zaidi atujuze.
 
Kila kitu kinamwanzo na mwisho wake, sasa wanamtwara huu ni wakati wa kusubiri maendeleo yako njiani kwa mikoa ya mtwara na lindi.
 
Wakuu,

leo ntwara tangu asubuhi kila huduma imefungwa watu wapo kimakundi makundi wanasikiliza bunge hasa bajeti ya wizara ya nishati na madini,ni magari ya ffu tu ndio yapo barabarani nayo hupata wakati mgumu kupita kwasababu ya mawe na magogo yaliyowekwa na vijana,baadhi ya watu kadhaa wamechukuliwa na askari eti kwakuwa walipita jirani na gari yao,askari wengi waliokuja si wa hapa ntwara wengi wametoka Masasi na Lindi.


Kauli mbiu ya huku kwa sasa - "gesi haitoki hata kwa bomba la peni"

attachment.php


=======

attachment.php


MORE UPDATES
MATAIRI KILA KONA YA MJI YAMECHOMWA BARABARANI POLISI NA ZIMA MOTO NDIO WANAKAZI YA KUZIMA NA KUFUKUZA RAIA

TAYARI NYUMBA KADHAA ZA WATUMISHI WA SERIKARI ZIMETIWA KIBERITI MAENEO YA SHANGANI
View attachment 94735


mkuu hizi picha kule kwetu wangekwambia umeangukia pua
 
Nimepata taarifa kuwa kuna vurugu zimeanza Mtwara na mabomu ya machozi yameanza kupigwa.

Mwenyee taarifa zaidi atujuze.

duuuuh, hv serikalini hawana waliosomea conflicts and conflict solving' mbona hawatak kuwa crius na huko chini....hii ni ishara kwamba ipo ck mioto itawaka kila mkoa kwa ck moja..
 
Back
Top Bottom