Hali ni tete Mtwara Leo, Sakata la Gesi

Hali ni tete Mtwara Leo, Sakata la Gesi

gesi kuchimbwa itachimbwa ila cha kujua mtwara au tanzania ndio vurugu zinaingia hivyo. MNAODHANI NI WANAHARAKATI KUCHOCHEA AU KUSHABIKIA VURUGU MNAWAANGAMIZA HAWA WATU. MAANA HATA KILE KIDOGO AMBACHO WALIKUWA WANAKIPATA KITAKIMBIA KUPITIA VURUGU.

CHA KUFANYA SI KUSHABIKIA VURUGU BALI KUTOA MWONGOZO ILI WANANCHI WADAI HAKI ZAO KWA NJIA SAHIHI NA WAFANIKIWE SIO KUDAI HAKI WAKAISHIA KUWA WAKIMBIZI
 
wakuu mwenye kujua mjini MTWARA,LINDI kuna km ngapi za lami??
cc THE BIG SHOW

mji wa lindi ni miongoni mwa mikoa michache ambayo angalau ina mtandao wa barabara ya lami kwa kiasi kikubwa
 
Kama issue ni umeme kwani ni lazima Gesi ije dar?
 
gesi kuchimbwa itachimbwa ila cha kujua mtwara au tanzania ndio vurugu zinaingia hivyo. MNAODHANI NI WANAHARAKATI KUCHOCHEA AU KUSHABIKIA VURUGU MNAWAANGAMIZA HAWA WATU. MAANA HATA KILE KIDOGO AMBACHO WALIKUWA WANAKIPATA KITAKIMBIA KUPITIA VURUGU.

CHA KUFANYA SI KUSHABIKIA VURUGU BALI KUTOA MWONGOZO ILI WANANCHI WADAI HAKI ZAO KWA NJIA SAHIHI NA WAFANIKIWE SIO KUDAI HAKI WAKAISHIA KUWA WAKIMBIZI

mkuu, kuna watu wanadhani kuwa vurugu ndiyo mtaji wao wa kisiasa
 
By MAKOSHNELI 11:20 Today

Wakuu,
leo ntwara tangu asubuhi kila
huduma imefungwa watu wapo
kimakundi makundi wanasikiliza
bunge hasa bajeti ya wizara ya
nishati na madini,ni magari ya ffu
tu ndio yapo barabarani nayo
hupata wakati mgumu kupita
kwasababu ya mawe na magogo
yaliyowekwa na vijana,baadhi ya
watu kadhaa wamechukuliwa na
askari eti kwakuwa walipita jirani
na gari yao,askari wengi waliokuja
si wa hapa ntwara wengi wametoka
Masasi na Lindi.

Kauli mbiu ya huku kwa sasa -
"gesi haitoki hata kwa bomba la
peni"
 
Mabomu yanaendelea sana sasa mtwara,
hali ni mbaya sana,nipo shangani maeneo ya nyumba ya hawa ghasia,mabomu hapa yanapigwa sana...
 
watu wa mtwara wanajua sana maana ya kujikomboa mwenyewe ...wameona sasa ya msumbiji...hawatanii wale they mean it..eti waziri anawaita chura
 
duh na kungekuwa na mbunge wa chadema huko mtwara, majibwa koko yangesema sana....
 
Ni baada ya kukunwa na hotuba ya waziri wa nishati wakati anawasilisha hotuba yake kuwa gesi itawanufaisha kwanza wanamtwara na mikoa ya jirani kabla ya maeneo mengine ya nchi..vijana wanasherehekea mitaani na kumpongeza muhongo

Wenzako wapigwa mabomu au ndo sherehe unayoisema?
 
duh na kungekuwa na mbunge wa chadema huko mtwara, majibwa koko yangeisingizia chadema
 
Jk na serikali yake wanadhani watatumia polisi siku zote..ipo siku itafika..gadafi hakufikiri kama kuna siku ataingizwa mitiji matakoni na kufa kifo cha fedheha kama vile...angalizo Mods sijatukana hapa nimenukuu tu maana nina damu ya kunguni humu jf bani zinaniandama na

mkuu, serikali bado haijatumia kiwango kikubwa cha nguvu tofauti na kuko libya. kumbuka tuna mgambo, polisi, jkt, jwtz. hapo wanatumika polisi tu. bado vyombo vingine havijaanza kutoa makucha yake. sishabikii hilo lakini chokochoko zikizidi lazima serikali popote ulimwenguni lazima ikabiliane na nguvu hizo kwa nguvu zote
 
Hizo picha zinaonesha vijana wa mitaani wakipitapita na sio maandamano. Kitakachokosekana ni wauza mifuko na korosho pale stendi. Shida ya hili vuguvugu ni kwamba limeasisiwa na mtu asiyejua anadai nini.

Mtapigwa, mtawekwa ndani na gesi hii itakuja Dar es Salaam.

Wenzenu wenye akili timamu saa hizi wapo vyuoni wakijiandaa kuchukua fursa za ajira Msimbati kwenye kiwanda cha kuchakata gesi, ujenzi wa bomba na kinu cha kusukuma gesi kuja Kinyerezi kwenye Power Plant.

Kama kuna anayebisha na asubiri aone. Huu unaofanyika Mtwara ni utoto. Tutaibiwa kwa kuwa badala ya kuhoji yaliyo ya muhimu, tunashabikia yasiyo ya msingi.
 
Mtambo wa kuchuja gesi yatajengwa mtwara by muhongo.
 
acha umbumbu haujajbu swali kama lilivyoulizwa.. Lizaboni

hilo swali kamuulize magufuli. ila mie kwa vile lindi nimeishi najua mtandao wa barabara kwa kiwango cha lami ulivyosambaa licha ya kuwa lami hiyo ni ya miaka mingi. siwezi kusemea kuhusu mtwara
 
Back
Top Bottom