Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Kama humu ndani kuna walimu kuanzia ngazi ya awali mpaka university mtakubaliana nami katika Idadi ya watoto wa kike katika shule za awali hadi Msingi ni kubwa kuliko watoto wa kiume,nenda shule yoyote ya msingi, sekondari au chuo kikuu utagundua hilo.
Mfano kwa sasa hapa University of Dar es Salaam,Wanafunzi wa Mwaka wa 4 wanaosoma sheria- vijana wa kike ni mara 2 ya vijana wa kiume. Yani 100 kwa 50, unaweza kusema labda kwa kuwa wanawake wengi wanapendelea kusoma sharia kuliko wanaume but its irrelevant maana hata kwenye kozi zingine napo ni hivyo hivyo.mwaaka Juzi nilitembelea shule za msingi za Mkoa wa Njombe katika shule zote,hakuna darasa hata 1 ambalo idadi ya wavulana ni kubwa kuliko wasichana.
Kwa uchunguzi mdogo niliofunya nimegundua issue sio kuwa watoto wa kike wana akili kuliko wanaume bali ni kuwa uzazi, watoto wa kike wanazaliwa kwa wingi kuliko wa kiume. Takwimu zinaonesha kati ya watoto 100 wanaozaliwa kwa siku 60 pekee ndio wa kiume, vilevile vifo kwa watoto chini ya miaka 5 watoto wa kiume wanafariki sana kuliko wa kike.
Swali hapa ni kuwa kwa nini kupata watoto wa kiume imekuwa kazi kubwa?na kwa nini watoto wa kiume wanakufa sana wakiwa wadogo kuliko wa kike? Nini kifanyike ndugu sana JF. Naona miaka ijayo wanaume tutafutika kabisa kwenye uso wa Dunia.