digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Kwahiyo tuamin za kwako!?sensa za tanzania usiziamini kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo tuamin za kwako!?sensa za tanzania usiziamini kabisa
Hahahah watoto wa nyege mshindo.Mimba za bahati mbaya zote ni watoto wa kike, ukiongezea na wale wa mipango ndio inakuwa balaa zaidi.
Watoto wa kike ni wengi zaidi ya wale wa kiume, tazama hata mitaani wanapocheza utaiona tofauti.
UNature ndio ipo hivyo kwa viumbe hai wote, mimea na wanyama. Dume mmoja kwa wanawake wengi. Lakini pia kuna study zinaendelea, inasemekana Y chromosome ina mutate na inakosa nguvu so X inazidi kutawala.
Hata kama ningekuwa nina Dada nisingeruhusu umchezee kwa njia hiyo 🤪Kama kuna dem kakosa mume anipe namba yake nitakua na kipindi cha maombi kwa mmoja mmoja
Pendelea sana kula karoti, karanga, korosho na almond na mbegu za maboga. Kula hii kitu kwa wingi sana. Siku moja utatuletea mrejeshoz😂😴Asee mwenyewe Hadi Leo Nina wakike tu tu Kila nikipiga vp nafyatua wakike ...Mungu atusaidie .
Kula organic meals utafyatua tofali dumeAsee mwenyewe Hadi Leo Nina wakike tu tu Kila nikipiga vp nafyatua wakike ...Mungu atusaidie .
Hiyo ni indicator mbaya. Tunampenda mtoto wa kike ila Taifa lenye nguvu kinajengwa na wanaume. EndKama humu ndani kuna walimu kuanzia ngazi ya awali mpaka university mtakubaliana nami katika Idadi ya watoto wa kike katika shule za awali hadi Msingi ni kubwa kuliko watoto wa kiume,nenda shule yoyote ya msingi, sekondari au chuo kikuu utagundua hilo.
Mfano kwa sasa hapa University of Dar es Salaam,Wanafunzi wa Mwaka wa 4 wanaosoma sheria- vijana wa kike ni mara 2 ya vijana wa kiume. Yani 100 kwa 50, unaweza kusema labda kwa kuwa wanawake wengi wanapendelea kusoma sharia kuliko wanaume but its irrelevant maana hata kwenye kozi zingine napo ni hivyo hivyo.mwaaka Juzi nilitembelea shule za msingi za Mkoa wa Njombe katika shule zote,hakuna darasa hata 1 ambalo idadi ya wavulana ni kubwa kuliko wasichana.
Kwa uchunguzi mdogo niliofunya nimegundua issue sio kuwa watoto wa kike wana akili kuliko wanaume bali ni kuwa uzazi, watoto wa kike wanazaliwa kwa wingi kuliko wa kiume. Takwimu zinaonesha kati ya watoto 100 wanaozaliwa kwa siku 60 pekee ndio wa kiume, vilevile vifo kwa watoto chini ya miaka 5 watoto wa kiume wanafariki sana kuliko wa kike.
Swali hapa ni kuwa kwa nini kupata watoto wa kiume imekuwa kazi kubwa?na kwa nini watoto wa kiume wanakufa sana wakiwa wadogo kuliko wa kike? Nini kifanyike ndugu sana JF. Naona miaka ijayo wanaume tutafutika kabisa kwenye uso wa Dunia.
Mkuu naomba maelekezo ya kina kuhusu Hilo Tafadhali.Kula organic meals utafyatua tofali dume
Asantee mkuu naanza hiiyo Dozi ..mana Nina warembo tu ila hawana mlinzi asee.Pendelea sana kula karoti, karanga, korosho na almond na mbegu za maboga. Kula hii kitu kwa wingi sana. Siku moja utatuletea mrejeshoz[emoji23][emoji42]
Unashauri nini?Kama humu ndani kuna walimu kuanzia ngazi ya awali mpaka university mtakubaliana nami katika Idadi ya watoto wa kike katika shule za awali hadi Msingi ni kubwa kuliko watoto wa kiume,nenda shule yoyote ya msingi, sekondari au chuo kikuu utagundua hilo.
Mfano kwa sasa hapa University of Dar es Salaam,Wanafunzi wa Mwaka wa 4 wanaosoma sheria- vijana wa kike ni mara 2 ya vijana wa kiume. Yani 100 kwa 50, unaweza kusema labda kwa kuwa wanawake wengi wanapendelea kusoma sharia kuliko wanaume but its irrelevant maana hata kwenye kozi zingine napo ni hivyo hivyo.mwaaka Juzi nilitembelea shule za msingi za Mkoa wa Njombe katika shule zote,hakuna darasa hata 1 ambalo idadi ya wavulana ni kubwa kuliko wasichana.
Kwa uchunguzi mdogo niliofunya nimegundua issue sio kuwa watoto wa kike wana akili kuliko wanaume bali ni kuwa uzazi, watoto wa kike wanazaliwa kwa wingi kuliko wa kiume. Takwimu zinaonesha kati ya watoto 100 wanaozaliwa kwa siku 60 pekee ndio wa kiume, vilevile vifo kwa watoto chini ya miaka 5 watoto wa kiume wanafariki sana kuliko wa kike.
Swali hapa ni kuwa kwa nini kupata watoto wa kiume imekuwa kazi kubwa?na kwa nini watoto wa kiume wanakufa sana wakiwa wadogo kuliko wa kike? Nini kifanyike ndugu sana JF. Naona miaka ijayo wanaume tutafutika kabisa kwenye uso wa Dunia.
Tunaomba chanzo cha hii takwimu. Pia kama ni hivi, basi wanaume wanapaswa kuwa wengi kuliko wanawake, i.e. 60% watoto wa kiume na 40% watoto wa kike.Takwimu zinaonesha kati ya watoto 100 wanaozaliwa kwa siku 60 pekee ndio wa kiume, vilevile vifo kwa watoto chini ya miaka 5 watoto wa kiume wanafariki sana kuliko wa kike.
India Kuna Jimbo lina sera ya kuua watoto wa kike wanapozaliwa.Huko ndo wanaume ni wengi kuliko wanawake.Sijui nini kifanyike mi naona tu tunywe Pepsi au labda tuviuwe vikiwa vitoto